Nahodha wa timu ya taifa ya Brazil Thiago Silva amesema staa wa timu hiyo Neymar Jr yupo kwenye kiwango bora sana kwasasa tofauti na michuano iliyopita ya kombe la dunia.

Beki huyo anayekipiga kwenye klabu ya Chelsea anaamini timu ya taifa ya Brazil inapaswa kunufaika na ubora wa mchezaji huyo ambao yupo nao kwaasasa, Kwani beki huyo anaamini hajawahi kumuona Neymar amekuja kwenye kombe la dunia akiwa kwenye kiwango bora kama ambavyo anacho kwasasa.Thiago SilvaNeymar Jr ambae mpaka sasa amehusika kwenye magoli 26 huku akifunga magoli 15 huku akitengeneza mabao 11 huku ikiwa ni rekodi bora kabisa kutoka kwa mchezaji huyo mwenye ufundi mwingi kutoka Brazil.

Thiago Silva naamini wana timu nzuri ya ushindani na kila mmoja yupo tayari kutimiza majukumu yake kuisaidia timu lakini pia wanapaswa kutumia faida ya Neymar kua kwenye kiwango bora ili kuwafikisha katika ndoto ya kubeba taji hilo.

Thiago Silva amekua mchezaji mwandamizi wa timu hiyo huku akiwaanaenda kushiriki kombe la dunia kwa mara ya tatu kuanzia mwaka 2014 huku ndoto yao kubwa ni kubeba taji hilo ambalo takribani miaka 20 imepita tangu taifa hilo litwae kombe la dunia.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa