Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA kwa Wanaume kwa mara ya pili. Messi alipata ushindani kutoka kwa mchezaji mwenzake Kylian …
Makala nyingine
Lionel Messi, Lionel Scaloni na Emiliano Martinez wameng’ara hapo jana kwa Argentina katika hafla ya Tuzo Bora za FIFA huko Paris. Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Messi alitawazwa kuwa mchezaji …
Nyota wa zamani wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Marcelo Viera yuko kwenye mchakato wa kuvunja mkataba na klabu yake ya sasa Olympiacos ya nchini …
Kocha wa zamani wa klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane amesema bado anataka kuendelea kufundisha soka lakini bado hajajua ni wakati gani atarudi kufanya kazi hiyo. Kocha Zidane ambaye kwasasa …
Nia ya Neymar kutaka kuhamia Ligi kuu ya Uingereza inazidi kushika kasi, huku Man City, Manchester United na Liverpool zikiwa miongoni mwa timu zilizosemekana kumuhitaji mchezaji huyo. Nyota huyo …
Gwiji wa zamani wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa Thiery Henry amesema yuko tayari kuchukua kibarua cha kuinoa timu ya taifa ya Marekani kama atapewa nafasi …
Mfungaji bora wa mabao wa Ufaransa Olivier Giroud ameamua kutostaafu soka la Kimataifa na anatumai huo ni muziki masikioni mwa Didier Deschamps. Mshambuliaji huyo wa AC Milan mwenye umri …
Carlo Ancelotti alitania kwamba anashukuru kwamba halazimiki kustaafu mwishoni mwa msimu huu baada ya Federico Valverde kufunga bao lake la 10 katika kampeni ya Real Madrid kushinda fainali ya Kombe …
Klabu ya Real Madrid leo itashuka dimbani kumenyana na klabu ya Al-Hilal katika fainali ya klabu bingwa ya dunia kulitafuta taji lao la tano la klabu bingwa ya dunia. Real …
Klabu ya Manchester United imepata msiba baada ya shabiki wake nguli ambaye ni msanii nguli kutoka Afrika ya Kusini Kiernan Forbes maarufu kama AKA aliyepigwa risasi nchini humo usiku wa …
UEFA wamethibitisha kutoa mchango wa €200,000 kwa ajili ya misaada ya kibinadamu kufuatia tetemeko la ardhi nchini Uturuki na Syria. Kwa kuongezea, bodi inayoongoza itatulia kupisha ukimya kabla ya …
Wachezaji Karim Benzema, Lionel Messi na Kylian Mbappe wameingia kwenye tatu bora ya kinyang’anyiro cha kumtafuta mchezaji bora wa mwaka 2022 kupitia shirikisho la soka duniani. Baada ya kutangaza lorodha …
Gazeti la Brazil O Globo linadai FA wako tayari kusubiri hadi msimu wa joto kumteua Carlo Ancelotti kama kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Brazil. Nafasi hiyo …
Carlo Ancelotti, Pep Guardiola, na Lionel Scaloni wameingia kwenye tatu bora ya makocha ambao wanawania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2022 kupitia shirikisho la soka duniani FIFA. Kocha Carlo …
Timu ya taifa ya Brazil imeonesha bado haijakata tamaa kwa kocha wa Real madrid Carlo Ancelotti ambae wanataka aifundishe timu ya taifa ya nchi hiyo akirithi mikoba ya kocha aliyepita …
Denis Shapovalov alishindwa mikononi mwa Wu Yibing wa China anayekua kwa kasi kwenye mashindano ya Dallas Open. Wu alipata ushindi wa 7-6 6-4 dhidi ya mshindi wa Canadian Davis …
Belinda Bencic alisimama kidete kufika robo fainali ya Abu Dhabi Open huku wenzake ambao ni vipenzi vya watu Anett Kontaveit na Jelena Ostapenko wakielekea nyumbani. Bencic alitinga hatua yake …
Kocha mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti anatumaini kuwa Karim Benzema atakuwa fiti kuichezea Real Madrid katika fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu. Benzema ambaye ni mshindi wa …
Klabu ya Real Madrid itashuka dimbani leo katika mchezo wa nusu fainali wa klabu bingwa ya dunia dhidi ya klabu ya Al Ahly utakaopigwa nchini Morocco katika dimba la Pince …
Karim Benzema na Thibaut Courtois wameachwa nje ya kikosi cha Real Madrid kitakachoshiriki nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu Jumatano dhidi ya Al Ahly. Nahodha wa timu …