Makala nyingine

Aliyekua beki wa timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane ametangaza kustaafu timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kuitumikia kwa muda nrefu na kwa mafanikio makubwa. Beki Varane …

Klabu ya Ajax imeonekana kufufuka kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uholanzi leo baada ya kupata ushindi wa mabao manne kwa moja dhidi ya klabu ya Excelsior. Klabu hiyo ambayo …

Staa wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo ameitembelea klabu ya Real Madrid inayoshiriki michuano ya Spanish Super Cup yanayofanyika nchini Dubai. Ronaldo ameonekana kwenye uwanja wa mazoezi ambao klabuu …

Kocha wa zamani wa klabu ya Real Madrid na gwiji wa timu ya taifa ya Ufaransa Zinedine Zidane amemponza rais wa shirikisho la soka nchini humo Noel Le Graet. Rais …

Staa wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe anatajwa zaidi kama mrithi wa kitambaa cha unahodha alichokua akikivaa Hugi Lloris aliestaafu siku ya jana. Hugo …

Kocha mpya wa timu ya taifa ya Ureno Roberto Martinez amesema bado nyota na nahodha wa timu hiyo Cristiano Ronaldo bado ana nafasi ya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Kocha Martinez …

Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la Kimataifa baada ya kuiongoza Ufaransa kutinga fainali ya pili mfululizo ya Kombe la Dunia 2022.   Kipa Lloris ndiye mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi …

Bingwa mara nne Naomi Osaka amejiondoa kwenye mashindano ya Australian Open 2023.   Mjapani huyo mwenye umri wa miaka 25 ni mshindi mara mbili wa Australian Open (2019 na 2021), …

1 2 3 4 5 6 7 492 493 494