Manuel Ugarte Kucheza Man United kwa Mkopo
Makala iliyopita
Manchester United Yamuuza Kinda wake Oyedele
Makala ijayo
Rafael Leao Haendi Popote
Taarifa ambazo zimetoka mchana wa leo ni kua dili hilo lipo kwenye hatua za mwisho na Man United wameshikilia msimamo wao wa kumchukua kiungo huyo kwa mkopo na kukubaliana na kipengele cha kumnunua baada ya mkopo, Hii imetokana na kiwango cha pesa ambacho klabu ya PSG walikua wanakihitaji na Man United hawakua tayari kukilipa kwa kipindi hiki.