Bayer Leverkusen Washinda Jioooni
Makala iliyopita
Simba Yatinga Hatua ya Makundi Shirikisho Kibabe
Makala ijayo
Rodri Apata Majeraha Dhidi ya Arsenal
Kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika Wolfsburg walieka mzani sawa kwa kusawazisha bao kupitia kwa Bornauw dakika ya 34, Kabla ya dakika ya 45 wageni kupata bao la tatu kupitia kwa kiungo Mattias Svanberg na mchezo huo kwenda mapumziko kwa Leverkusen kua nyuma ambapo Wolfsburg wakiongoza 3-2.
Kama ilivyo kawaida yao dakika za jioni kabisa Victor Boniface alifanikiwa kuiandikia Bayer Leverkusen bao ushindi mnamo dakika ya 93 ya mchezo na kuihakikishia klabu hiyo alama tatu, Klabu hiyo imekwea mpaka nafasi ya pili ya msimamo wa ligi hiyo wakiwa na alama 9 kwenye michezo minne waliyocheza mpaka sasa.