Debi ya Milan Imevunja Rekodi Serie A

Debi kati ya Inter Milan na AC Milan inayofahamika kwa jina la Derby della Madonnina imevunja rekodi ya Serie A kwa kuwa debi ambayo imeingiza pato kubwa zaidi.

Debi hii itachezwa Jumapili hii na imetangazwa kuwa gemu ambayo imeuzika sana, debi hii imevunja historia ya debi zote za nyuma kwa kuingiza paundi milioni 5.7 wakiweka rekodi ya kuongoza kwenye mapato ya Serie A.

Debi hii imepita mapato ya gemu iliyopita wakati Inter Milan walipokuwa wenyeji wa Juventus Aprili 2018. Zaidi ya tiketi 4,000 zilinunuliwa na mashabiki ambao wanaishi nje ya Italia na wanatarajiwa kusafiri kwa ajili ya debi hii tu.

Debi hii itakuwa ya kuvutia zaidi ikienda sambamba na kampeni ya mtandaoni ya “Join the flame” huku picha za moto zikiwa zinaonekana kwenye pande tofauti za uwanja. Debi hii itavutia zaidi wakati rapa anayefahamika kwa jina la Ghali atakapozindua singo yake mpya kabla ya mda wa gemu.

3 Komentara

    Gud news

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.