Tetesi za Usajiri Barani Ulaya leo Juma 5 tarehe 27 May

Arsenal inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa Barcelona Phillipe Coutinho.
Mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 amehudumia msimu wote akiwa kwa mkopo katika mabingwa hao wa Ujerumani Bayern Munich, lakini klabu hiyo haiko tayari kulipa paundi milioni 105 za Uingereza ili kufanikisha mkataba wa kudumu.(Le10sport – in French)

Cotinho

Paris St-Germain inafanya mazungumzo na Arsenal katika jaribio la kumsaini mashambuliaji wa klabu hiyo Pierre-Emerick Aubameyang, 30, for £34m. (Todofichajes)

Emerick Aubameyang

Mshambuliaji wa Juventus Gonzalo Higuain, 32, huenda akarudi katika ligi ya premia baada ya uhamisho wake wa mkopo katika klabu ya Chelsea – Newcastle na Wolves zote zinamwania. (Express)

Mshambuliaji wa klabu ya RB Leipzig Timo Werner, 24, amehusishwa pakubwa na uhamisho wa kujiunga na Liverpool lakini aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Manchester United Owen Hargreaves anahisi kwamba uhamisho wa klabu hiyo ya Old Trafford ungekuwa bora zaidi kwa mchezaji huyo. (Star)

Mshambuliaji wa Wolves Raul Jimenez, 29 mwenye thamani ya £57m, ananyatiwa na Manchester United, Arsenal na Real Madrid. (Tuttosport – in Italian)

Mshambuliaji wa Bournemouth Joshua King, 28, analengwa na klabu sita zilizopo katika uongozi wa ligi ya Premia baada ya ombi la dau la paundi millioni 20 katika siku ya mwisho ya uhamisho kukataliwa mnamo mwezi Januari. (Mirror)

Juventus inataka kuipiku Real Madrid katika ununuzi wa mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 19, katika uhamisho wa dau la £67m. (Tuttosport – in Italian)

Barcelona iko tayari kumuuza mashambuliaji wa Ufaransa Ousmane Dembele, 23, kwa dau la £37m. Klabu hiyo ya Uhispania ililipa £137m kumnunua raia huyo wa Ufaransa miaka mitatu iliopita lakini ameanzishwa mara tano pekee kufuatia msururu wa majeraha. (Mirror)

Winga Adama Traore, 24, ameshauriwa kuipuuza hamu ya Liverpool na kusalia katika klabu ya Wolves kwa msimu mwengine na mchezaji wa zamani wa Sheffield United Michael Brown. (Star)

Adama Traore

51 Komentara

    ahsanteni meridian ber kwa taarifa

    Jibu

    Asanten kwa taarifa #meridian

    Jibu

    Tuko pamoja

    Jibu

    Asante kwa kutujuza

    Jibu

    Coutinho ni mchezaji mzuri Sana

    Jibu

    Asante #meridianbettz kwa taarifa

    Jibu

    Meridianbet mpo vizuri kwenye taarifa zenu kweli

    Jibu

    Meridian asante kwa habari

    Jibu

    philipe yuko vizur sana

    Jibu

    Habari ya arsenal kutaka kumsajiri Philippe iko poa

    Jibu

    Shukrani kwa taarifa

    Jibu

    Asante kwa habari

    Jibu

    Habari nzuri wahusika tumeipata

    Jibu

    Safi kwa habari nzuri za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Habar njema# meridianbet

    Jibu

    Thnks meridian bet kwa update#

    Jibu

    Iko gud

    Jibu

    Asante kwa taharifa

    Jibu

    bora zibaki tetesi

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Thnks kwa update za michezo na burudani

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    update za michezo na burudani Zina patikana meridianbettz

    Jibu

    Arsenal..! Wameshuka sana viwango so bado mnakazi ngumu sana ya usajil

    Jibu

    Mnanielewesha vyema kabisaa

    Jibu

    Habari njema kwa wadau wasoka

    Jibu

    Meridianbet mko vizuri kwa taarifa

    Jibu

    Auba to PSG , balaa hili kwa thr gunners kwa sababu ndio striker tegemezi

    Jibu

    tetesi nzuri sana

    Jibu

    Asanten meridian kwa taarifa

    Jibu

    Tunashuru kwa taarifa meridian

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Thnks meridian kwa information

    Jibu

    Phillipe kutua arsenal ni habar nzur

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbet

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Asanteni

    Jibu

    Aksante Meridianbet kwa kutuhabarisha

    Jibu

    Yuko pamoja

    Jibu

    Tuko pamoja

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Tetesi nzuri kabisa

    Jibu

    Asante kwa habari za michezo na burudan#meridianbet

    Jibu

    Philipe fundii

    Jibu

    habar njema ni mda wa vilabu

    Jibu

    Timo yuko vizuri.

    Jibu

    Asantee kwatarifa meridian

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa meridian#meridianbettz

    Jibu

    ahsanteni meridian kwa kutujuza

    Jibu

    Nimewasoma

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.