Uwanja wa Azam Complex-Chamazi unaanza kutumika rasmi leo baada ya kufanyiwa marekebisho. Utaanza kutumiwa na klabu ya Azam ambayo itaanza mazoezi yake kuanzia saa 10 jioni kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu.

Azam ambayo kwa sasa inamzidi yanga kwa alama tatu ikiwa na jumla ya alama 54 na yanga ikiwa na alama 51, huku kinara wa ligi kuu Tanzania bara Simba ikiongoza ligi hiyo kwa alama 71
“Leo klabu ya Azam inaanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kurudi kwa ligi, tulikuwa tuanze mapema lakini tukasitisha mpango wetu kwa sababu Bodi ya Ligi ilituambia tusubiri mwongozo toka kwao”-Zaka Zakazi, afisa habari wa Azam FC.
“Tayari Bodi ya Ligi wameturuhusu kuanza na leo tunaanza mazoezi yetu rasmi kwenye uwanja wetu wa Azam Complex.”
Wachezaji watapimwa afya kwanza kabla ya mazoezi ambayo yatasimamiwa na kocha msaidizi Vivier Bahati akisaidiwa na Idd Abubakar (kocha wa makipa) ambaye atakuwa akikaimu kama kocha msaidizi.


Shafii
Habar Safi hiyooo
dorophina
Habari njema bora na Tanzania ligi zirudi
Samiah
Guud news
Evaluziga
Habari nzuri
Ester jackson
Harari nzuri sana kwa mashabiki jamani
Kenani
Mko vzr
Elika
Safi sana meridianbet kwa taarifa njemaa
Mwajuma
Itakuwa poa sana
Emmy cleopa
Habar nzuri
Ernest
Karibu VPL!!
frank patrick
Soka lirudii kuchangamke
SADICK
Dalili ya mvua ni mawingu! karibu ligi kuu TZ#meridianbettz
Magdalena
Habari njema Sana ndo wakati tuliokuwa tunausubiri kwa hamu
Carolyne
Mji utachangamka
Hamidu
Taarifa njema kwa wapenzi wa soka
Povel
Ni habar njema kwa wadau wasvpl
Hope mwaikuka
Itakua vzur
David pere
Azam fc wanatisha Sana uwanja wao Sasa upo vizuri
Rehema Dickson
Habari nzuri na uwanja mzuri pia
Amani
Karibu VPL!!
Genia Sikaluzwe
Habari njema kwa wa Tanzania
Mariam mtandama
Muko vizur sana
Gabriel
Habar njema sana # meridianbet
Isha
Mmetisha sana
Neema hassan
Habari njema kwa wapenz wa soka…
Swai
Mko vizur
Juliana
Nimeipenda hiyo
mwakalosi
hii imekaa poa sana kupunguza ghalama sa usafiri
Neema juma
Safiiii sana hiyoo
winfrida
daaah wachezaji wa azam wanajivunia safi sana
Antony Luseno
Jambo la kheri kwa azam fc maana mapato yataongezeka
Tahiya
Hiyo ni habari njema kwa wapenda michezo
Mwanahamisi
Muko vizuri sana
Warda
Azam ndugu zake Simba #Meridianbettz
Zeiyana iddi
Asanteni meridianbettz kwa taarifa
Lombo
habar mzur mambo n moto
Furahav
Safi sana.
Lydia Emmanuel Magoti
Safii sana
Devotha
Habari njema
Neema juma
Safi sana
Emmy cleopa
Safi sana
Agness
Safi nihabari njema
felister
safi habari nzuri nimeipenda iyo
Theckla
Habari njema