Kutoka Bungwa kwenda Bingwa. Thiago Alcantara anatarajia kwenda Liverpool kutoka Bayern Munich. Rpoti zinasema kuwa kuwa na makubaliano ya awali baina ya klabu na mchezaji na ni wanauchumi ndio wannafanyazi kazi katika pande mbili.
The Bavarians wanafahamu baada ya misimu saba, Thiago anatafuta sehemu nyingine ya kupata changamoto. Mazungumzo baina ya mchezaji na Liverpool tayari. Bayern wanataka 35m euros kwaajili yake.

Liverpool hawataki kulipa hiyo pesa kwa mkupuo mmoja. Kama hawatapunguza bei basi watatafuta namna ya kufanya malipo.
Jurgen Klopp hajawahi kuficha hisia zake kwa Thiago, ambaye waliwahi kukutana mara kadhaa wakiwa Ujerumani. Tangu ijulikane kuwa hata saini mkataba mpya na Bayern, mkataba wake unamalizika 2021, Anfield ndio makazi mapya.


Magdalena
Safi Sana anaenda katika tiny kubwa sana na atajifunza vitu vingi tofauti
Caroline
Thiago nenda sehemu nyingine ukatafute changamoto.usikae sehemu moja
Magdalena
Safi Sana anaenda katika timu kubwa sana na atajifunza vitu vingi tofauti
Genia Sikaluzwe
Thiargo abadilishe na zingira uwenda akapata kitu kipya kwenye timu zingine
Dorophina
Thiargo yupo poa wajitahidi wamchukue haongeze kikosi kisidi kuimarika zaid
felister
vizuri thiago nenda sehemu nyengine ukatafute changamoto
Zeiyana
Namshauri thiago hakatufute tu maali pengine so alivuma sana kipindi kile lakini sasa hivi hasikiki kabic haame tu haende sehemu yengine akakumbane na changamoto nyengine
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Thiago yupo vizuri ukitoka sehemu kwelekea sehemu nyingine nivizuri unakuwa unabadilisha upepo wakiakili namazingira pia
Genia Sikaluzwe
Thiargo abadilishe na zingira uwenda akapata kitu kipya kwenye timu zingine
Revina
Thiago atakuwa amefanya jambo zuri sana Maana ataenda kukutana na wachezaji wenzie wanaujua mpira vilivyo
Antony Luseno
Liver ni timu kubwa na kusajiliwa kwa wachezaji wenye majina in jambo bora
Sadick
Sioni mbadala Thiago Alcantara Bayern endapo ataondoka pia Boteng anatakiwa kuondoka#meridianbettz
lombo
gud news mambo ni moto na
Hamidu
Dogo anajua Sana Kama Liverpool watamsajili watakuwa wamefanya usajili mzuri Sana..Ila njoja tusubili na kuona#meridianbettz
isha
Thiago kila la kheri huko uendako
Flomena
Liverpool hawataki kulipa hiyo pesa kwa mkupuo mmoja. Kama hawatapunguza bei basi watatafuta namna ya kufanya malipo.
Jurgen Klopp hajawahi kuficha hisia zake kwa Thiago, ambaye waliwahi kukutana mara kadhaa wakiwa Ujerum #meridianbettz
Khadija
Kusajiliwa wachezaji wenye majina ni jambo bora#meridianbettz
Mariam mtandama
Habari njema
David Pere
Atawasaidia Sana Liverpool maana huyu no mchezaji mzuri sanaa
Issa
Thiago kwa liver patamfaa sana kwa kuwa liver ina mpira wa kushambulia na kasi sana
Johnmary joel
Ni maamuzi mazuri Kwake #meridianbett
Njiku
Klopp ni kocha bora msimu huu kwangu jamaa yupo makini sana na anataka kufanya mapinduzi akiwa na liverpool na formula zake za kijerumani hivi ili naliona mimi au maana klopp usajili wake wanataka wajerumani kwanini?naamini Ujerumani ni ligi bora na inachangamoto ya soka kuliko ligi nyingine safii klopp naamini kuwa thiago atashuka hapo anfield na kuleta chachu ya vikombe msimu unaokuja
Shafii
Thiago ni bonge la kiungo Kama Liverpool watafanikiwa kumsaini watakua wamejihimarisha Sana eneo la kiungo na watakua moto Sana kwa msimu ujao
Gabriel
Habar njema sana 👍
Sylvester
Alcantara bado ni kiungo bora duniani kama akienda Liverpool atakua na msaada vile vile
warda
Wenye Viwango vyao wanauziak tu#Meridianbettz
Ernest
Alcantara atapata namba kweli Liverpool?
nasra
Asantee kwa taarifa nzurii meridianbet
Hope mwaikuka
Axante kwa habar hii
fatumakasom
Safi
Samiah
Safi sanaa
Furahav
Thiago yuko vizuri sana.
Rehema
Hii ni habari njema
Tahiya
Ni mchazaji mzur na timu anayoenda ni bora
Isaya massawe
Mchezaji mzur sana nafikiri Liverpool wakimpata atawasaidia kwa sehem flan
Salma
Ni mchezaji mzuri huko anakoelekea atakuwa bora zaidi
Saupha mohamed
Aende tuu azidi kupata changamoto
Omary lukumbi
Itakua kitu kizr sana kwa T.alcantara akiwa epl kukipiga kwa mabingwa wa uingereza ni mchezaj mzr na bora zaid
Latifa juma mohamed
Safi sana alcantara anaenda club kubwa tunatarajia mambo makubwa mazur kutoka kwake na kuweza kujivunia kuwa maarufu zaid
tumaini
Maoni:safi
Amani
Jurgen Klopp hajawahi kuficha hisia zake kwa Thiago, ambaye waliwahi kukutana mara kadhaa wakiwa Ujerum #meridianbettz
Tatu
Ni mchezaji mzuri kwa upande wa Liverpool atawasaidia sana
Povel
Habar njema
Neema juma
Naona mambo yatakuwa moto alipoenda ni pazuri na yeye yuko vzr wataongeza ushindi
Amiri Kayera
Habar nzur km atatua Kwa majogoo
Devotha
Asante kwa taarifa
Sabrina
Maoni:Asante kwa taarifa
Angelina
Goodnews
Theonestina
Habari njema kwetu sisi mashabiki wa mpira