Wadau wengi wanaamini kuwa Lionel Messi hawezi kuondoka Barcelona. Hii ni kutokana na mazingira ambayo staa huyu amejiwekea na mapenzi aliyonayo na Barcelona, pamoja na mda amabao ameutumia na klabu hii. Man United wanamtaka?
Kwa mujibu wa Chapisho la Express, Klabu ya wakongwe wa EPL, Manchester United wapo tayari kuvunja kibubu kumsajiri staa huyu.
Kuna baadhi ya vyanzo vimekuwa vikitaja kuwa Lionel Messi anatarajia kuondoka Braca baada ya soko kufunguliwa tena. Lakini staa huyu, binafsi amekuwa akisema kuwa anaweza akamaliza soka lake pale Barcelona.
Ikumbukwe Barcelona walitaka kumpatia mkataba wa maisha. Lakini Messi alikataa akisema kuwa inawezekana akawepo hapo maisha yake yote ya soka lakini sio lazima kusaini mkataba wa maisha.

Express wanataja kuwa klabu ya Man United inatarajia kumshawishi lionel Messi kusaini mkataba na wao ikiwa ataondoka klabuni hapo. Pia ushindani unatarajiwa na PSG ambako mwanatimu mwenzake Neymar alishawishika kwenda.
Kwa siku za hivi karibuni, Messi ametajwa kuwa hafurahii hali inayoendelea klabuni hapo. Hii inatarajiwa kuwa sababu ambayo inaweza kumshawishi kuamua kuondoka Camp Nou.
Messi alikuwa ni mmoja wa wachezaji walioitaka klabu yake kumrejesha Neymar kutoka PSG. Badala yake klabu iliamua kumleta Antoine Griezmann kutoka Atletico Madrid.
Wakatin dili la Messi kuja Man United, au hata kwenda PSG likionekana kuwa dili gumu kukamilika, klabu zinatarajiwa kujianda kwa ada ya takribani Euro milioni 108.
Bonyeza HAPA kujisajili na Meridianbet! Kumbuka tiketi yako ya kwanza daima ni USHINDI


Povel
Gud news
isha
Duuh messi asiondoke bhuana kwasababu mazingira aliyojiwekea na pia anamapenzi sana na barcelona
Sadick
Messi hawezi kuleta maajabu Man U kwasasa, ameshachoka#meridianbettz
Dorophina
Mbona wanamtaka mtu ambaye umri umeenda Messi hana jipya saiz
Neema juma
Hawezi mtu kumfosii Messi uamuzi upo kichwani mwake
Franky
Messi kasha sema hata staff Barcelona so wamuache…
Rehema Dickson
Wamuache afanye maamuzi yake ni mtu mzima huyo na anajua nini anataka
felister
Messi haendi kokote atastaafu soka lake akiwa barcelona
Genia Sikaluzwe
Wamuache afaye maamzi yake mwenyewe bila kulazimishwa
Mwanahamisi
Gud news
Caroline
Messi mtu mbad
Revina
Manchester united wanajisumbua kwa mchezaji kama Messi ,kwa sababu anaipenda timu yake Bacerlona ,na anategemea kustaaff akiwa kwenye timu yeke
Ester jackson
Timu ya barc imekuwa na visasi ambavyo havina umuhimu kati ya viongozi na wachezaji hivyo hata kama lion messi akiondoka sawa tu hata kwenye timu nyingine maisha yapo ni juhudi zako tu ndio mafanikio yako
Ernest
Itakuwa vizuri sana kama Messi atachezea Mancity kabla hajastafu
Magdalena
Messi abakie tu apo apo Barcelona man United atoweza kuonesha maajabu zaidi umri ushaenda
Edgar
Mmmh mess aje man u Ni hatar coz sio mategemeo kabisa yeye kuja man u. Na Nina amini lione mess soka la uengereza hariwezi kabisa
Kwanza mtu mwenyewe kashuka kiwango kabisa.
warda
Hapo Nitaweza kuwa Shabiki wa Messi#Meridianbettz
Hamidu
Sio kweli! Messi kwa man utd hapana labda man city atafiti kwa mfumo#meridianbettz
Njiku
Messi hawezi kwenda man u atastafu barca
Hope mwaikuka
Sidhan kama ataweza hama barca
Samiah
Messi mtu mmbaya
Gabriel
Hawez kwenda man u ata kidogo coz haikuwa ndoto yake kuichezea man u
Issa
Anaweza akaenda kwa maslahi yake binafsi tu
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Messi mwamba kilamtu ana mahamuzi yake Sasa Kama yeye ana takaka kuondoka kwenda Man United itakuwa poa tuu Kama hajalizia kuondoka abaki tuu hapo Barcelona akipige zaidi
Angelina
Abaki tu huko huko barcelona
Sylvester
Mesi akija Mannchester UTD kumalizia soka lake itakua poa sana au hata klabu yeyote kubwa pale Uingereza kama Mancity kwani nina imani kwamba mashabiki wa soka wa Uingereza wanahitaji sana kumuona huyu nguli wa soka akikipiga Uingereza
Saupha mohamed
Abaki tuu uko uko…kwanza mda wake ndounaishiiia ataweza kutufuraishaaaa kwa kipindi ikiiiiiiii….kazi na umriiii
Rehema
Messi namkubali
Amiri Kayera
Waandishi awakosi chakuandik Taalifa iwe na mashiko aseme mwenyew
Furahav
Habari nzuri.
Devotha
Hizo ni tetesi tu ila messi hawezi kuondoka barcelona
Tahiya
Duuh ya kwer hayo, basi itakuwa vizur
farida ahmadi
Duh ndio kwnz nasikia hii habari ni kweli mess hanawez kuondoka Barcelona ngoja tuone kwnz km hanawez kwend man United
Salma
Abaki Barcelona amalizie mpira hapo
Theckla
Nina Imani kwa Messi ni ngum Sana kuondoka baca
Omary lukumbi
Lionel messi ni mchezaj bora wa dunia na mshindi wa tuzo za ballon d’Or ila kwa kusajiliwa man United hizo ni tetesi hawawez kumleta messi OT
Evaluziga
Mess mtu mbaya
David Pere
Man U watatukosea heshima Kama watajaribu kusajili Messi Kama wanataka no afadhali wamridishe CR7 mnyamaa
Theonestina
Duuuh.
Johnmary joel
Sijui kama hataweza kuama ila maamuzi anayo yeye mesi#meridianbett
Aziza mushi
Messi ni mtoto wa Barcelona hawezi Hama nyumbani.
Shafii
Hizi ni tetesi tu ila kwa messi kuja man sidhani ila ingependeza akaja kumalizia career yake ya mpira EPL pale
Fatuma kasomo
Abaki tu
Sabrina
Maoni:Man u waache tamaaa
mwakalosi
man utd hatutaki matatizo bhn abaki huko huko
lombo
duuh