Zlatan Ibrahimovic amekuwa na shaka ya kuendelea kukaa Milan kama hali haitabadilika.
Zlatan mwenye umri wa miaka 38 anaye kipiga katika klabu ya AC Milan ambaye kipindi cha nyuma alisha wahi kushinda kikombe cha Scudetto mwaka 2011 akiwa na timu hiyo, mwezi Januari akiwa kama mchezaji huru aliondoka kunako klabu ya LA Galaxy inayoshiriki ligi ya MLS lakini amekuwa na shaka kuhusu malengo yake ndani ya msimu 2019-20.

Mshambuliaji huyo amefunga magoli 6 tangu arejee Milan ambako amejipanga upya na kuisaidia Rossoneri ambao ni mabingwa wa Champions League mara saba na kusogea mpaka nafasi ya kushiriki Europa League.
Milan wapo katika nafasi ya saba katika msimamo wa Serie A alama mbili nyuma ya mabingwa wa Coppa Italia na Roma baada ya michezo 31 na kufanikiwa kuwafunga 4-2 vinara wa ligi hiyo Juventus siku ya Jumanne
Licha ya kuonekana kuimarika siku za hivi karibuni Milan wapo mbioni kumfukuza kocha wao Stephano Pioli na nafasi yake kuchukuliwa na Ralf Rangnick ambaye atashirikiana majukumu na kiongozi wa michezo klabuni hapo.
Huku kukiwa na kutokuwa na uhakika Ivan Gazidi ameripotiwa kuwa na mipango ya kumleta kwenye timu hiyo Rangnick mchezaji wa zamani wa Manchester United, Paris Saint Germain na Barcelona na Zlatan ametoa onyo mkuhusiana na taarifa hizo.

“Ibra anacheza kushinda au akae nyumbani,” Ibrahimovic aliiambia Gazzetta dello Sports kwenye mahojiano na jarida la michezo inayotarajiwa kutoka siku ya Jumamosi.
“Waliniambia kustaafu Amerika ilikuwa ni kirahisi sana, kwa hiyo nilikuja Milan kwa mapenzi tu, kimsingi hapa nacheza mpira bure silipwi chochote…. Na hili janga la COVID lilisimamisha kila kitu na lilifanya nijiulize labda nahitaji kustaafu.”
“Ibra sio mchezaji wa kucheza Europa League na Milan sio timu ya kufikiria kucheza Europa League.”
Kume kuwa na ugomvi kati ya Ibrahimovic na uongozi wa AC Milan Zlatan anaonekana kutoukubali ujio wa Rangnick klabuni hapo.
Pioli alichukua nafasi ya Marco Giampaolo mwezi Oktoba na inasemekana bosi wa zamani wa RB Leipzig Rangnick amekubali kuinoa AC Milan msimu wa 2020-21 na Zlatan hajakubaliana mpango huo.
“Rangnick ndio nani? Simjui hata kidogo,” aliongeza Ibrahimovic.


Sylvester
Hapo inaeonekana tayari hakutakua na maelewano mazri na kocha huyo mpya na Ibra nae umri ushaenda ila ukweli maishani mwake haitaji klabu ambayo haina ushindani na haipo kwenye nafasi ya kucheza UEFA
Sadick
Ibrahimovic hapaswi kuingilia majukumu ya viongozi. Kazi yake kucheza mpira, anaweza kushauri lakini hapaswi kulazimisha ushauri wake ukubaliwe#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Kwann tena jamani
Amani
Ataki masiara kabisa Kadabra#meridianbettz
Ester jackson
Ibrahimovic anaonekana hapati mile anacho kitaka cha maendeleo ndio mana anataka aondoke hawa ndio wachezaji wa nchi za jirani .kwa hapa kwetu Tanzania viongozi ndio wanaowaharibu wachezaji mana kama humlipi mchezaji kutokana na mkataba alio usaini ataweza kucheza ipaswavyo ikiwa haoni anacho pata itakuwa vigumu ni sawa sawa na kumsukuma mlevi .wezetu wanajua wanacho kifanya kwa masilahi yao na kuwapa watu wengine faida hilo ndio soka.
Adelta
Kwa upande wng namuona Ibrahimovic ameshazeeka bora tu astaafu mpira Kwan licha ya timu yake Ila anaonekana kuwa ameshashuka kiwango ata apewe timu nzur ataweza kufanya vzur kabisa
Zeiyana
Kwa sasa kadabra umri umeshamtupa mkono inapaswa arudishe Mpira kwa kipa kwani hakuna mwanzo usiokua na mwisho.
Dorophina
Zlatan umri umeenda ingawa bado yupo vizuri uwanjani angestaafu tu soka
felister
Kama anaona kunasitofahamu Bora tu aondoke zake
Theckla
Ye afate kazi yake tu
fatumakasom
Umri umemtupa angepumzika tu
Neema juma
Umri unamfanya aanze maneno maneno labda angejipumzisha zake
Revina
Kwa umri alionao ni sawa kujiongeza ,mambo mengine hawachie walio chini yake .
Latifa juma mohamed
Kwa upande wng Ibrahimovic mchezaji mzuri ,kwa umri ulionao amalizie hapohapo umri ushaend awaachie vjana
Mariam mtandama
Makala mazur
Rehema
Eeeeh bwanaee unasama kweli?
lombo
duuh
Hamidu
Ibrakadabra fundi..unazeeka na uwezi wako muda wote namkubali.
Caroline
Ibrahimovic una biti.
Shafii
Tamati ya kadabra ishafika cha msingi kuna maisha mengine baada ya mpira .
Genia Sikaluzwe
Ibrahimovic ni mchezaji mzuri ila Kama mudu umesogea anaweza akawachia wengine
Samiah
Angepumnzikatu umri ushakwenda
Sabrina
Maoni:Ibrahimovic namkubali sana anazeeka sasa
mwajuma
Duuh kazi ipo apo kwa Ibrahimovic#Meridianbettz
Magdalena
Umri wake ushasonga Sana angepumzika tu soka
JULIANA
Yangoswe tumuachie Ngoswe
Njiku
Umri ushaenda bhana atulie tu hapo na amalizie soka lake
Ernest
“Rangnick ndio nani? Simjui hata kidogo,” Zlatan Ibrahimovic Mkorofi sana
Khadija
Umri ushaenda#meridianbettz
Franky
Ibrahimovic hina takiwa mpira wake aka umalizie China ukoo
Issa
Ibra mchezaji mzuri ila ana vituko pia ila uwanjani ni noma
Saupha mohamed
Mmmh haya mawazo yake
neema hassan
Umri umeenda huyoo
Furahav
Tundika madaluga tu upumzike zako.
tumaini
Maoni:umri umeenda sana inabidi ajiongeze tu jamani
farida ahmadi
Ibramovic ni mchezaji ambaye ni mkorofi Sana kwa hiyo klabu ya Milan wamuangalie san
Edgar
Daaah pole sana sema Ibrahim inaangalia sana bhn
Gabriel
Ameshazeeka huyo
Tahiya
Ni muda wa yeye kupumzika umri umemtupa mkono
Nasra
Angetulia tu umri ushaenda
warda
Ibrahimovic Huwaga Mbishi sana#Meridianbettz
devotha
Ibrahimovic namkubali sana ni mchezaji mzuri
Hope mwaikuka
Yy tu nafs yake
Omary lukumbi
Ibrahimovic umri umeenda mtaalam huyu bado amekua mwiba na bado ana washa moto ana umri 38 lakin bado yuko moto sana
Isaya massawe
Akaze buti bado mapema?
David Pere
Ni kweli sababu hata umri wake umeshapita
mwakalosi
38 bado anawachachafya kweli milan wameishiwa
Flomena
Ibra sio mchezaji wa kucheza Europa League na Milan sio timu ya kufikiria kucheza Europa League.”
Povel tz
Gud news
Amiri Kayera
Apamban kwaajir ya team
Salma
Uwamuzi ni wake