Kwa Hali Hii siwezi Kukaa Milan - Ibrahimovic...

Zlatan Ibrahimovic amekuwa na shaka ya kuendelea kukaa Milan kama hali haitabadilika.

Zlatan mwenye umri wa miaka 38 anaye kipiga katika klabu ya AC Milan ambaye kipindi cha nyuma alisha wahi kushinda kikombe cha Scudetto mwaka 2011 akiwa na timu hiyo, mwezi Januari akiwa kama mchezaji huru aliondoka kunako klabu ya LA Galaxy inayoshiriki ligi ya MLS lakini amekuwa na shaka kuhusu malengo yake ndani ya msimu 2019-20.

Mshambuliaji huyo amefunga magoli 6 tangu arejee Milan ambako amejipanga upya na kuisaidia Rossoneri ambao ni mabingwa wa Champions League mara saba na kusogea mpaka nafasi ya kushiriki Europa League.

Milan wapo katika nafasi ya saba katika msimamo wa Serie A alama mbili nyuma ya mabingwa wa Coppa Italia na Roma baada ya michezo 31 na kufanikiwa kuwafunga 4-2  vinara wa ligi hiyo Juventus  siku ya Jumanne

Licha ya kuonekana kuimarika siku za hivi karibuni Milan wapo mbioni kumfukuza kocha wao Stephano Pioli na nafasi yake kuchukuliwa na Ralf Rangnick ambaye atashirikiana majukumu na kiongozi wa michezo klabuni hapo.

Huku kukiwa na kutokuwa na uhakika Ivan Gazidi ameripotiwa kuwa na mipango ya kumleta kwenye timu hiyo Rangnick mchezaji wa zamani wa Manchester United, Paris Saint Germain na Barcelona na Zlatan ametoa onyo mkuhusiana na taarifa hizo.

Zlatan Ibrahimovic

“Ibra anacheza kushinda au akae nyumbani,” Ibrahimovic aliiambia  Gazzetta dello Sports kwenye mahojiano na jarida la michezo inayotarajiwa kutoka  siku ya Jumamosi.

“Waliniambia kustaafu Amerika ilikuwa ni kirahisi sana, kwa hiyo nilikuja Milan kwa mapenzi tu, kimsingi hapa nacheza mpira bure silipwi chochote…. Na hili janga la COVID  lilisimamisha kila kitu na lilifanya nijiulize labda nahitaji kustaafu.”

“Ibra sio mchezaji wa kucheza Europa League na Milan sio timu ya kufikiria kucheza Europa League.”

Kume kuwa na ugomvi kati ya Ibrahimovic na uongozi wa AC Milan Zlatan anaonekana kutoukubali ujio wa Rangnick klabuni hapo.

Pioli alichukua nafasi ya Marco Giampaolo mwezi Oktoba  na inasemekana bosi wa zamani wa RB Leipzig Rangnick amekubali kuinoa AC Milan msimu wa 2020-21 na Zlatan hajakubaliana mpango huo.

“Rangnick ndio nani? Simjui hata kidogo,” aliongeza Ibrahimovic.

 

51 Komentara

    Hapo inaeonekana tayari hakutakua na maelewano mazri na kocha huyo mpya na Ibra nae umri ushaenda ila ukweli maishani mwake haitaji klabu ambayo haina ushindani na haipo kwenye nafasi ya kucheza UEFA

    Jibu

    Ibrahimovic hapaswi kuingilia majukumu ya viongozi. Kazi yake kucheza mpira, anaweza kushauri lakini hapaswi kulazimisha ushauri wake ukubaliwe#meridianbettz

    Jibu

    Kwann tena jamani

    Jibu

    Ataki masiara kabisa Kadabra#meridianbettz

    Jibu

    Ibrahimovic anaonekana hapati mile anacho kitaka cha maendeleo ndio mana anataka aondoke hawa ndio wachezaji wa nchi za jirani .kwa hapa kwetu Tanzania viongozi ndio wanaowaharibu wachezaji mana kama humlipi mchezaji kutokana na mkataba alio usaini ataweza kucheza ipaswavyo ikiwa haoni anacho pata itakuwa vigumu ni sawa sawa na kumsukuma mlevi .wezetu wanajua wanacho kifanya kwa masilahi yao na kuwapa watu wengine faida hilo ndio soka.

    Jibu

    Kwa upande wng namuona Ibrahimovic ameshazeeka bora tu astaafu mpira Kwan licha ya timu yake Ila anaonekana kuwa ameshashuka kiwango ata apewe timu nzur ataweza kufanya vzur kabisa

    Jibu

    Kwa sasa kadabra umri umeshamtupa mkono inapaswa arudishe Mpira kwa kipa kwani hakuna mwanzo usiokua na mwisho.

    Jibu

    Zlatan umri umeenda ingawa bado yupo vizuri uwanjani angestaafu tu soka

    Jibu

    Kama anaona kunasitofahamu Bora tu aondoke zake

    Jibu

    Ye afate kazi yake tu

    Jibu

    Umri umemtupa angepumzika tu

    Jibu

    Umri unamfanya aanze maneno maneno labda angejipumzisha zake

    Jibu

    Kwa umri alionao ni sawa kujiongeza ,mambo mengine hawachie walio chini yake .

    Jibu

    Kwa upande wng Ibrahimovic mchezaji mzuri ,kwa umri ulionao amalizie hapohapo umri ushaend awaachie vjana

    Jibu

    Makala mazur

    Jibu

    Eeeeh bwanaee unasama kweli?

    Jibu

    duuh

    Jibu

    Ibrakadabra fundi..unazeeka na uwezi wako muda wote namkubali.

    Jibu

    Ibrahimovic una biti.

    Jibu

    Tamati ya kadabra ishafika cha msingi kuna maisha mengine baada ya mpira .

    Jibu

    Ibrahimovic ni mchezaji mzuri ila Kama mudu umesogea anaweza akawachia wengine

    Jibu

    Angepumnzikatu umri ushakwenda

    Jibu

    Maoni:Ibrahimovic namkubali sana anazeeka sasa

    Jibu

    Duuh kazi ipo apo kwa Ibrahimovic#Meridianbettz

    Jibu

    Umri wake ushasonga Sana angepumzika tu soka

    Jibu

    Yangoswe tumuachie Ngoswe

    Jibu

    Umri ushaenda bhana atulie tu hapo na amalizie soka lake

    Jibu

    “Rangnick ndio nani? Simjui hata kidogo,” Zlatan Ibrahimovic Mkorofi sana

    Jibu

    Umri ushaenda#meridianbettz

    Jibu

    Ibrahimovic hina takiwa mpira wake aka umalizie China ukoo

    Jibu

    Ibra mchezaji mzuri ila ana vituko pia ila uwanjani ni noma

    Jibu

    Mmmh haya mawazo yake

    Jibu

    Umri umeenda huyoo

    Jibu

    Tundika madaluga tu upumzike zako.

    Jibu

    Maoni:umri umeenda sana inabidi ajiongeze tu jamani

    Jibu

    Ibramovic ni mchezaji ambaye ni mkorofi Sana kwa hiyo klabu ya Milan wamuangalie san

    Jibu

    Daaah pole sana sema Ibrahim inaangalia sana bhn

    Jibu

    Ameshazeeka huyo

    Jibu

    Ni muda wa yeye kupumzika umri umemtupa mkono

    Jibu

    Angetulia tu umri ushaenda

    Jibu

    Ibrahimovic Huwaga Mbishi sana#Meridianbettz

    Jibu

    Ibrahimovic namkubali sana ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Yy tu nafs yake

    Jibu

    Ibrahimovic umri umeenda mtaalam huyu bado amekua mwiba na bado ana washa moto ana umri 38 lakin bado yuko moto sana

    Jibu

    Akaze buti bado mapema?

    Jibu

    Ni kweli sababu hata umri wake umeshapita

    Jibu

    38 bado anawachachafya kweli milan wameishiwa

    Jibu

    Ibra sio mchezaji wa kucheza Europa League na Milan sio timu ya kufikiria kucheza Europa League.”

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Apamban kwaajir ya team

    Jibu

    Uwamuzi ni wake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.