Ni Ngumu Guardiola Kurudi Barcelona.

Pep Guardiola amejidhatiti katika klabu ya Manchester City na kurudi katika klabu aliyokuwa akiinoa zamani klabu ya Barcelona “Haiwezekani kwa sasa” hii ni kwa mujibu wa wakala wa kocha huyo Josep Maria Orbitg.

City ambao wametolewa mara tatu katika hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Champions League wamekuwa wakihoji mustakabali wa Guardiola katika timu hiyo

Guardiola anakaribia kumaliza mkataba wake kwani huu ndiyo mwaka wa mwisho katika kandarasi yake na City wakati Barca wanatarajia kumpiga chini Setien wamekuwa kwenye mazungumzo ya kumrudisha kocha wao wa zamani Guardiola.

           Kocha wa Manchester City Pep Guardiola

Lakini, muwakilishi wa Guardiola Orobitg amesisitiza kuwa Guardiola mwenye umri wa miaka 49 ataendelea kuifundisha Manchester City.

“Ndiyo, Pep ataendelea kukaa Etihad kwa asilimia mia,” aliiambia Goal.

Guardiola alifanikiwa kushinda mataji 14 katika misimu minne akiwa na Barcelona lakini Orobitg aliongeza “kwa sasa haiwezekani” kurudi Barcelona.

Barcelona alipokea kipigo kizito cha 8-2 kutoka kwa wababe wa Ujerumani Bayern Munich wiki iliyopita katika hatua ya robo fainali kwenye Champions League nchini Ureno.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi ucheze

37 Komentara

    kwanini ishindikane…?

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    maamuz n yak

    Jibu

    Ni yeye atakavyo amuwa

    Jibu

    Ajapata bonge nono Hilo lakini angepata lazima Guardiola Ange timba Barcelona

    Jibu

    Ni jambo la makubaliano Kati ya barca na guardiola mwenyewe.

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Pep Guardiola ni Kocha mshindi lakini sio dawa pekee ya Barcelona kurudi ktk ubora wake yanahitajika mabadiliko mengi nadani ya Barcelona ikiwa ni pamoja na kusajiri wachezaji wazuri#meridianbettz

    Jibu

    Baki tu hapo na wewe ukienda barca utakula lungu 9 bure.

    Jibu

    Hakun linashindikana kikubwa makubalianao tu hapo

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi mwenyewe gardiola

    Jibu

    Wakikubaliana itawezekana tu

    Jibu

    Hao Barcelona watafute kocha mwingine guardiola hawawezi kumpata

    Jibu

    Barcelona wapambane na hali yao watuachee na guardiola wetu

    Jibu

    Guardiola bora ubaki zako ukouko Man City,
    Barcelona akuna damu changa

    Jibu

    Hayo ni makubaliano yao sidhani kama Barca wakiamua kumtaka kama atakataa

    Jibu

    Guadiola kurudi inawezekana tu kwa hilo na wengi wa wachezaj wanamkubal

    Jibu

    Guardiola yuko vzur sana aliisaidi sana Barcelona matumain akirud lazma ainoe vzur

    Jibu

    Maamuzi anyone yeye kubaki au kuondoka#meridiabett

    Jibu

    Maoni:man city ngumu kuuacha kocha huyo aludi barcelona

    Jibu

    Maamuz ni kitu cha muhimu hapo

    Jibu

    Guardiola anakaribia kumaliza mkataba wake kwani huu ndiyo mwaka wa mwisho katika kandarasi yake na City wakati Barca wanatarajia kumpiga chini Setien wamekuwa kwenye mazungumzo ya kumrudisha kocha wao wa zamani Guardiola.

    Jibu

    Guardiola ni kocha mzuri sana na ukizingatia kuwa anapenda ushindani san a Wa mafanikio nafikiri kama wangemsajili ingeleta hamasa kubwa

    Jibu

    Mpira una sura nyingi sana sikuhizi mfano akipigwa chini na City moja kwa moja huenda Barca ndo ikawa chaguo lake namba moja kuifundisha

    Jibu

    Barcelona wangempata guardiola ingependeza zaidi maana ni kocha mzuri ambaye anapenda mafanikio

    Jibu

    Tumeiyona kazi yake guardiola ni kocha mwenye uwezo wake kwa mda alio hutumia pale clabuni man city kuna vingi sana hamefanya ila kwa huwamuzi wake yeye kundwa Barcelona ili kurudisha hazi ile ya zamani me naona hangeanza na mechi la ufundi kwanza..!

    Jibu

    Kila kitu kinawezekana chini ya jua

    Jibu

    Ni yeye atavyoamua abaki city au aende Barcelona

    Jibu

    Jaman angerud tu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Arud tyuu kama wanamuhitaji

    Jibu

    Aende tu Barca

    Jibu

    Ajaamua uyo.akiamua kurudi anarudi tu

    Jibu

    Aende Barca tu

    Jibu

    Pep Guardiola ni Kocha mshindi lakini sio dawa pekee ya Barcelona kurudi ktk ubora wake yanahitajika mabadiliko mengi nadani ya Barcelona ikiwa ni pamoja na kusajiri wachezaji wazur

    Jibu

    Afanye maamuzi tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.