Mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Hassan ‘Twaha Kidudu na Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ wanatarajia kupanda ulingoni tena Desemba 26, mwaka huu kuzichapa katika pambano la usiku wa mabingwa.
Pambano hilo limepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Club Next Door, Masaki jijiji Dar.
Twaha Kiduku na Dulla Mbabe ambao wametoka kupigana wikiendi iliopita wapanda ulingoni katika pambano kwa kucheza na mabondia kutoka nchini Malawi.

Mbali ya mabondia hao, mabondia wengine watakaopanda ulingoni ni Mfaume Mfaume atazichapa na Chikondi Makawa wa Malawi, wakati Dullah Mbabe yeye akitarajia kuzichapa na Arick Mwenda pia kutoka Malawi.

Kwa upande wa Selemani Kidunda kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’ akitarajia kucheza dhidi ya Limbani Masamba na mwenzake Ismail Isaac ‘Gari ya Tano’ atacheza na bondia wa ndani Baina Mazora huku Tonny Rashid atetea mkanda wake kwa Mzimbabwe, Tinashe Mwadziwana.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
huu mtanange utakuwa mzito sana wa kukata na shoka nausubiria kwa hamu zote
felister
lazima apasuke mtu apo sio poa tunasubiria kuona Nani ataibuka mbabe
Furahav
Kwa pambano ili patakua hapatoshi.
Hope mwaikuka
Balaa hili nalingoja kwa hamu
Hidaya
Litakufa jitu sio kwa mtanange huo
Tatu
Mchezo wa masubwi naona unakuja kwa kasi sana
Theckla
Litakuwa pambano kali
lombo
saf
Povel
Mambo ni moto
Mwajumah
Mh kwa pambano ili patakua hapatoshi
Shafii
Patakua hapatoshi usiku wa mabingwa vitasa Kama vyotee.
jullie
bonge la mechi
Issa
Dullah atakalishaww tena
Sadick
mchezo wa Ndondi umeanza kurejesha umaarufu uliopotea na Wapenzi wa masumbwi tunasubiri kuona ngumi jiwe#meridianbettz
Salma ngende
Pambano kali
Agness
Mpambano wa kijeshi
aisha
Mtanange wa kibabe hapatatosha
Khadija
Siwezi kukosa pambano hili lazima niangalie mwanzo mwisho#meridianbettz
Amiri Kayera
Deal zinaongezek ngumi sasa zitakua zinalipa
Saupha mohamed
Mambo mottoo
Zeiyana
Tuna subiri kuona kwa hamu wamalawi wakichezea kichapo..!dulla mbabe hajawai kuyumba akiwa ulingoni
Rehema
Asante kwa makala
Sabrina
Bonge la pambano
Gabriel
mtanange utakuwa mzito sana wa kukata na shoka nausubiria kwa hamu
Tumaini kasalile
Daah naona dulla mbabe anataka kujiuliza tena
Janeflora malisa
Nice
Sauda
Tunasubiri kuona nani atakalishwa chini
Rose kapinga
Mambo ya ambakati chembe,kidevu lazima ukae!!
Ernest
Hii wabongo tunasema mwanakulifind mwana Kuliget, yetu sisi machoo tuu.
Fatuma kasomo
Mtanange bomba
Nasra
Nice
Neema
Utakuwaa mpambanoo wa kihistoria
Tahiya
Wale wapenzi wa ngumi tukutane December
Fatina
Litakuwa pambe kali!!
Theonestina
Safi sana
David Pere
mchezo wa Ndondi umeanza kurejesha umaarufu uliopotea na Wapenzi wa masumbwi tunasubiri kuona ngumi jiwe