Kiungo wa zamani wa AC Milan Giacomo Bonaventura amejiunga na klabu ya Fiorentina.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia mwenye umri wa miaka 31 ameinasa dili hiyo itakayo dumu kwa kipindi cha miaka miwili.
Bonaventura alicheza michezo 180 katika timu ya Rossoneri na kufunga mabao 35 baada ya kujiunga Ac Milan akitokea Atalanta mwaka 2014.
Mchezaji huyo wa Italia, ambaye alicheza michezo 14 katika timu ya taifa ya Italy ameachana na AC Milan mwisho wa msimu 2019-20 baada ya kandarasi yake kufika tamati.

Fiorentina pia imethibitisha kumsajili Riccardo Sottil ambaye atatumia msimu 2020-21 kwa mkopo akitokea klabu ya Cagliari, ambapo katika dili hiyo kuna kipengele kinacho ruhusu kufanya uhamisho wa kudumu.
Msimu mpya wa Serie A unatarajiwa kuanza kurindima Septemba 19 na timu ya Fiorentina itawakaribisha Torino katika viunga vya Artemio Franchi, Firenze. Mchezo utapigwa majira ya saa moja kamili (19:00)usiku saa za Afrika Mashariki.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Adelta
Habari njema 👍@meridianbettz
Johnmary joel
Hongera zake kwa milan#meridianbett
Dorophina
Fiorentina wamepata mchezaji mzuri sana bonaventura anajua sana
felister
hongera bonaventura kwa kupata dili la miaka miwili
Mwanahamisi
Hongera milan
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yaho Milan kumsajili Kiungo makini
Mwajumah
Fiorentina wamepata mchezaji mzuri sana#Meridianbettz
Sauda
Fiorentina wamepata jembe
Caroline
Hongera Fiorentina. Mmepata kiungo mzuri sanaa
Fatina mfigi
Safii wamepat kijan mahiri snaa!
warda
Kiungo Mmoja Matata sana#Meridianbettz
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Ernest
Kazi imebaki wa Bonaventura kuendeleza makali yake tuu ndani ya
Rose kapinga
Hongera kwa fiorentna kwa kupata mchezaji mzuri
rama
usajiri mzuri
Issa
Bonaventura ni safi kujiunga na milan
Theckla
Usajili mzuri sana
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Sabrina
Usajili bora kabisa
Tatu
Club ya fiorentino imepata mchezaji mzuri sana
Furahav
Safi
Khadija
hongera sana milan#meridianbettz
Nasra
Wamepata mchez mzuri
lombo
haba ri njema
Devotha
Good newz
Shani
Fiorentina ni safi kwa kumchukua kiungo makin toka inter
Gabriel
Bonaventura ni mchezaji mzur sana
Theonestina
Usajili mzur Sana.
Saupha mohamed
Hongera Milan kwakupata jembe
Samira
Milan wamepata mchezaji mzuri na mwenye kujituma
Sadick
Fiorentina ilikuwa na matokeo yasiridhisha msimu uliopita hali iliyopelekea kufukuzwa kocha pengine kwa usaijiri huu itarejesha makali yake ya zamani#meridianbettz
Neema
Wamepata Mtu makinii sana
Shafii
Deal done.
Frank P
Waitalia nao 31 kwao ni kama bongo tu
Samiah
Gud
Amiri Kayera
Usajir mzur
Magdalena
Fiorentina wamefanya vyema sana
aisha
Pongezi kwa bonaventura
farida ahmadi
Pongezi Sana