Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amesema hakuna mtu anayeweza kumuondoa kwenye timu hiyo kwa sasa.
Mo ambaye anafahamika kama mmoja kati ya mashabiki kindakindaki wa timu hiyo, amesema anaamini baada ya muda mchakato mzima wa uwekezaji utakamilika, lakini pamoja na watu kuwa wanazungumza mambo mengi, yeye hajali na hawezi kuondoka.
Akizungumza na Spoti Xtra jijini Dar es Salaam, bilionea huyo alisema kuwa anaamini asilimia kubwa ya watu wa Simba wanampenda na yeye ana nia njema na timu hiyo, hivyo hatishiki na wachache ambao wanampiga vita.

“Kuna mambo mengi sana yanaendelea, lakini jambo la msingi ni kwamba sina mpango wa kuondoka kwenye timu hii kwa sasa.
“Naamini kuwa kuna watu wana maneno yao, lakini wale wa Simba bado wananiunga mkono na wanataka niendelee kukaa hapa, nami napenda kuwaambia kuwa nipo na nitaendelea kuwepo labda hao wenye Simba yao waniondoe, lakini mimi siwezi kuondoka hata siku moja,” alisema.
Mo amesema kuhusu uwezo wa mtendaji mpya wa timu hiyo, Barbara Gonzalez na anaamini kuwa atafanya kazi nzuri kwa kuwa alipitishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na siyo yeye kama inavyodaiwa.

“Barbara amekuwa chini ya Senzo Mazingisa (CEO aliyepita), kwa kipindi chote na amefanya kazi nzuri, mimi naamini ataendelea kufanya kazi nzuri na watu wanatakiwa kufahamu siyo mimi niliyempitisha kuwa CEO bali ni Bodi, kila mmoja alisema anafaa kwa kuwa wanamuamini,” alisema Mo.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Povel
Sawa ila Wana msimbazi tunatak B 20 alizotuahid SIMBA
Caroline
Mtajijua wenyewe na simba yenu
felister
usiondoke ww ni nani….?
Dorophina
Simba hawawezi kumtoa mo ndio baba yao na mama yao hata wafanyaje hawawezi
Adelta
Yeye Ni mpenzi wa simbaaaa@meridianbettz
Theckla
Hilo halina ubishi hakuna kweli wakukotoa Simba ila timiza makubaliano ya b20
Lydia Emmanuel Magoti
Nikweri Boss unacho kiongea wamekisikia akuna Kama wewe boss kubwa akuna atakae weza kukutoa kwenye madaraka ya krabu kubwa msimbazi akuna
Antony Luseno
Kwa klabu kubwa yeyote inapopata mwekezaji lazima wakumuunga na kumpinga wawepo
Rose kapinga
Mo na Simba damu damu ni kama Messi na Barcelona!!!
Tatu
Tatizo soka LA Tanzania linaingiliwa na siasa ndiomaana atufiki mbali hebu wanasiasa watuache kidogo na simba yetu
Ernest
Huenda kukawa na mengi nyuma ya Pazia lakini Mo kawatoa mbali sana Simba hawana jinsi zaidi ya kumuunga mkono na kuimarisha misingi yao tuu ili Soka la Tanzania liende Mbele
rama
safii kabisa mo
Mwanahamisi
Safi sana
Fatina
Mmmh!
aisha
Hivyo ni kama kujisafisha tu atupatie pesa za klabu timu ifanye maendeleo kuliko kutupa hadith huu mwaka wa 3
Elika
Mo kama mo hakuna wa kushindana nae
Amiri Kayera
Boss kasem mashabik tumelizk
Hopemwaikuka
Achana nao boss kubwa piga kaz
Rehema
Safi
Furahav
Haya mo we endelea tu.
Mwajumah
Haipingiki iyo Mo na simba mpaka kieleweke#Meridianbettz
Shafii
Habari ya kufurahisha kwa wana simba.
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Issa
Usiondoke we nan hiyo timu si ya dewj ni ya wanasimba tufanyie hizo hisa si maneno tu
Khadija
hakuna kama mo#meridianbettz
Saupha mohamed
Aweiz tokea
Sabrina
Kumbuka hapo mwanzo walikua watu na wameondoka mimi nasema bado haujakutana na fitina za soka la bongo utaachia siti mwenyewe
Nasra
Mo boss kubwa
Sauda
Mo Kisiki
Neema
Hawezi kutolewa na mtu
sylvester
Simba yako fanya unavyotaka ilimradi ishiriki mashindano makubwa Africa na ikiwezekana ichukue mataji mengi ndipo watakapokujua ww nani
Latifa juma mohamed
Mo ambaye anafahamika kama mmoja kati ya mashabiki kindakindaki wa timu hiyo, amesema anaamini baada ya muda mchakato mzima wa uwekezaji utakamilika, lakini pamoja na watu kuwa wanazungumza mambo mengi, yeye hajali na hawezi kuondoka, Simba blood.
Tumaini kasalile
Yuki sahihi
Johnmary joel
Wewe nijembe endelea kuwepo timu simba izidi kusonga mbele#meridianbett
warda
Boss Kesha Sema Bado yupo yupo sana SIMBA NGUVU MOJA mpo#Meridianbettz
Tahiya
Baba kasema
Flomena
Great Boss
Ester jackson
Huna lolote unaongea hivyo kwa sababu unapata faida ila kama simba ikiwa kombo je utakubali kupata hasara au ndio itakuwa maziwa yameingia maji ya mtoni
Janeflora malisa
Vzr
Gabriel
Simba hawana jinsi zaidi ya kumuunga mkono na kuimarisha misingi yao tuu ili Soka la Tanzania liende Mbele
Theonestina
Safiii mo
magdalena
mo anajua anachokifanya na anachokisema na ana mapenzi ya dhati sana na timu ya simba kwahiyo waache kumzushia maneno yasiyo na maana
Faraja molell
Saf sana mo
Samiah
Saf sanaa
David Pere
Sawa ila Wana msimbazi tunatak B 20 alizotuahid SIMBA
Pain Cream Tiger
You can definitely see your enthusiasm in the paintings you write. The arena hopes for even more passionate writers such as you who are not afraid to mention how they believe. At all times go after your heart.