Safari ya Gareth Bale kurejea Tottenham imeiva baada ya Spurs na Real Madrid kufikia hatua kubwa ya makubaliano.
Awali Spurs waliripotiwa kuwa walikuwa wanataka kumtumia Dele Alli katika kukamilisha uhamisho wa nyota huyu, lakini Real Madrid hawakuwa tayari. Kwa maana hiyo, Tottenham walikuwa na chaguo la kukamilisha uhamisho wa mkopo.
Stori inayobamba zaidi leo ni kuwa nyota Gareth Bale amekubali dili la mkopo la mwaka mmoja kurejea Spurs.

Kwa mujibu wa Skysporst, Bale anasubiria ruhusa ya Real Madrid kuweza kukamilisha dili lake na kutua London. Kukamilika kwa dili hili kutamrejesha kwenye klabu aliyotemana nayo miaka saba iliyopita kwa dau la kuvunja rekodi la £86m.
Tarifa zinasema kuwa wansheria wa Hispania na Uingereza wanashirikiana kuandika mkataba. Spurs wapo tayari kumlipa mshahara wa £20m na kulipa ada ya uhamisho wa mkopo.
ESPN wanaripoti kuwa Jose Mourinho anajiandaa kumpokea Bale, japokuwa ametahadharisha kuwa atatakiwa kupambana ili aweze kuyafikia matarajio ya klabu pale Spurs.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Ernest
Bale bado anagundu ukiangalia na hali ya uchumi wa sasa katika Vilabu anashindwa kupata deal la kusajiliwa moja kwa moja naona swala la mkopo limeanza kuibuka sasa.
Adelta
Bale ameanza vibaya @meridianibettz
Ester jackson
Mimi nafikiri kuwa amepata mwanya Wa kiondoka real Madrid kama atafanya viziri katika timu hiyo na kupata mkataba Wa kudumu utakuja baada ya kuonyesha uwezo wake kufidia kushuka kwake
felister
dili nono
Nasra
Wamchukue tu ili azidi kuleta mabadiliko
Dorophina
Spurs wamepata mchezaji mzuri akaonyeshe kipaji chake huenda wakamfikilia kumsajili moja kwa moja
Fatina
Hata kwa mkopo sio mbay maan atazidi kuonyesha maajab mwisho wa cku watamsajili mazima
Tatu
Bora Bale aelekee Tottenham labda huko nyota yake itangaa
Angelina
Bale Yuko vizuri wamsajili tu
Sauda
Dili safi sana
Elika
Uwezo wake bale unashuka sasa
Caroline
Bale mbona una bahati mbaya ivo jmn
sylvester
Spurs wakamilishe ili dili mapema kwani Bale atawasaidia sana kwenye mbio za igi kuu Uingereza na ukiangalia nafasi yao ya ushambuliaji ni butu kwa sasa
Lydia Emmanuel Magoti
Spurs wamepata jembe wakamilishe tuuu wachukue vyao Bale Anajua
Tumaini kasalile
Welcome home bale
Zeiyana
Bale yupo vizuri sana naona hiyo ndio itakua tiketi yake ya kuama Real Madrid
Mwajumah
Wamchukue tu ili azidi kuleta mabadiliko#Meridianbettz
Shani
Bale asibezwe ni mahiri pia!!
Theckla
Itakuwa poa
Khadija
Itakuwa bola sana#meridianbettz
Gabriel
Bale atakuwa amerud nyumban maana n muda tokea aondoke
Sabrina
Bale aende tu uko spurs maana akienderea hapo madrid atawekwa bench sijui anamkosi gani
Saupha mohamed
Bale anamkosi gani daah
aisha
Bale mbona yuko vizuri jamani
Samiah
Bonge ya dilii
Janeflora malisa
Krb sana
Amiri Kayera
Epl tumemis Balle back hom
Theonestina
Itakuwa vizur
David Pere
Bale bado anagundu ukiangalia na hali ya uchumi wa sasa katika Vilabu anashindwa kupata deal la kusajiliwa moja kwa moja naona swala la mkopo limeanza kuibuka sasa.
Povel
Welcome BALE in spurs
Rose kapinga
Mambo ya kimichezo hayoo!!!
magdalena
bale alikuwa anatafuta mbinu za kuondoka madrid muda mrefu naona sasa kapata mwanya mzuri
Njiku
Bake sidhani kama real madrid watakubali dili hilo
Hopemwaikuka
Fresh tu
Issa
Hapo.ndo pako hapo ndio ulipopata thaman bale nahis spurs imemis mambo yako
Tahiya
Kila la kheir Balle
Furahav
Bale yuko vizuri.