Kuna sintofahamu Spurs juu ya hatma ya Dele Alli baada ya kuachwa kwenye kikosi cha Tottenham Hotspurs kilichosafiri kwenda Bulgaria kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Europa dhidi ya Lokomotiv Plovdiv.
Taarifa zinasema kuwa nyota huyu anatarajiwa kuondoka klabuni hapo kabla ya kufungwa kwa dirisha la uhamisho, awali akiwa anahusishwa na dili la mabadilishano na nyota wa Real Madrid Gareth Bale, ambalo Madrid walilikataa.
Mail Online wanaamini kuwa Jose Mourinho anataka Alli aondoke ili aweze kupata nafasi ya kumuweka Bale ambaye dili lake linatajwa kuwa ukingoni kukamilika kwa mkopo wa mwaka mmoja.
Maswali juu ya hatma ya Dele Alli yalianza baada ya kuhusishwa na mpango wa kubadilishana wachezaji, lakini kuachwa kikosini kunachukuliwa kama hatua inayotoa ishara zaidi kuwa Mourinho anaweza kuwa hana mpango na staa huyu.
Japokuwa taarifa zake hazipo wazi sana juu ya vilabu vyote vilivyowasilisha ofa zao rasmi kuiwania saini yake, ipo wazi kuwa PSG na Inter Milan ni miungoni mwa klabu ambazo zinaifukuzia saini yake.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Nasra
Uwezo wake unajulikana wasimuache kabisa
felister
Bora aende zake psg tu
Tatu
Inavoonekana Jose mourihno ameshamchoka dele bora asepe zake
Fatina mfigi
Sepa bhna wasikitishe hao!
Sauda
Wamfikirie, anajitahidi sana.
Angelina
Goodupdate
Dorophina
Dele ajiongeze akatafute kambi sehemu nyingine huenda atapata mafanikio
Adelta
Mashabiki tunashukuru kwa taarifa@meridianbettz
Elika
Wamchukue tu mbona kijana yuko vizur
Mwanahamisi
Bora aende zake psg
sylvester
Dele hana bahati na kikosini akiwa na Toattenham kwa sasa angeangalia timu akapate changamoto kwingine ila Bale atasaidia pale kama wakimchukua
Caroline
Wanataka kubadilishana wachezaji.
Zeiyana
Haya ndio maisha ya mpira clabu inatamani kumchezaji mwengine na kusahau yule wa kwanzo yote yote hayo ni kutaka clabu hifike maali fluni hau kuvuka sehemu ilipo..!dele haende tu PSG atakua mbadala wa mbappe
Mwajumah
Bora aende zake psg#Meridianbettz
Shani
Achukuliwe si mbaya atazidi kujiimarisha!!
Theckla
Duuuuu hatari
Revina
Kocha Jose Mourihno ameshamchoka maana huyo huwa anajilikana mzee wa mabifu ,so nq mchezaji mwenyewe hana bahati na kikosi icho kwahiyo aangalie plan B
Khadija
Hatari sana#meridianbettz
Gabriel
mourihno ameshamchoka
Saupha mohamed
Good news
aisha
Duuh majanga hayo
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Juliet
Achukuliwe tu. …anayaweza mapambano
Johnmary joel
Wamemchoka aende kwingine#meridianbett#
lombo
hatar
Neema
Duu hatariii tupu
Samiah
Hii simchezo
Amiri Kayera
Namkubar Sana dele
Agness
Asantee kwa taarifa meridian
Sabrina
Asepe tu asijari wala nn
Shafii
Sio mbaya kokote kule kambi.
David Pere
Dele hana bahati na kikosini akiwa na Toattenham kwa sasa angeangalia timu akapate changamoto kwingine ila Bale atasaidia pale kama wakimchukua
Povel
Dele Alli Hana nafas Kama mpango wa bale kurejea spurs hvyo Mourinho anaona Bora amuhuze ilikutopotezah kiwango chake kuliko kukaa benchi spurs
Rose kapinga
Atafute chaka lingine tuu kama thamani yake imeisha apo!!!
magdalena
dele atafute tu kambi nyingine kwa uwezo aliokuwa nao makini anapata tu
Njiku
Asante kwa taarifa
Latifa juma mohamed
Ni vema akisalia PSG.
Hopemwaikuka
Jamanii
Issa
Asepe tu