Neymar amepata adhabu ya kufungiwa michezo miwili kufuatia kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo wa Paris Saint- Germain dhidi ya Marseille na PSG kupokea kichapo cha 1-0 katika Ligue 1.
Hii ilikuwa ni mara ya pili mfululizo kwa Paris Saint-Germain kupoteza katika Ligue 1, ikiwa ndiyo kwanza ligi imeanza, mchezo uligubikwa fujo iliyopelekea wachezaji watano kuoneshwa kadi nyekundu.
Neymar mchezaji mwenye thamani kubwa, alikuwa mtu wa mwisho kuoneshwa kadi nyekundu baada ya kumsukuma kisogoni Alvaro Gonzalez.
Mbrazil huyo alilamika kufanyiwa kitendo cha kibaguzi na Alvaro ambaye alikataa kufanya tukio lolote liliashiria ubaguzi wa rangi.
Siku ya Jumatano kamati ya nidhamu ilisema Neymar amekuwa ni mchezaji wa tatu kupata adhabu ya kukosa mechi mbili.

Layvin Kurzawa yeye amefungiwa michezo sita na Leandro Paredes ambaye ni usajili mpya wa Paris Saint-Germain atakuwa nje kwa wiki mbili.
Watatu hao walishuhudia timu yao ya PSG ikipata ushindi wa kwanza tangu kuanza kwa msimu mpya wa Ligue 1 dhidi ya Metz katika mchezo huo Abdou Diallo alioneshwa kadi nyekundu.
Angel Di Maria alikuwa mkombozi wa PSG katika mchezo huo kwa kuipatia timu yake goli katika dakika za majeruhi lakini alikumbana na kamati ya maadili akihusishwa katika fujo zilizotokea kwenye mchezo dhidi ya Marseille.
Mchezaji Marseille Jordan Amavi amepata adhabu ya kuikosa michezo mitatu na Dario Benedetto ataukosa mchezo mmoja.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.
Cheza Sasa.


aisha
Pole sana Neymar ndio mpira huo
felister
duh sio poa
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa Neymar atumikia azabu ya kukaa njee PSG wangalie mwenendo wanao endanao mwisho wake watakuja kulaumiana zaidi namwenendo wao ukawa mpaya kwenye matokeo
Mwajumah
Duuh majanga hayo Neymar ila ndio mpira ulivyo#Meridianbettz
Elika
Mbona majanga
Caroline
Wasiangalie upande mmoja.lkn ata uyo nae aliemfanyia mwenzie matendo ya kibaguzi achukuliwe hatua
Nasra
Mbna maajabu tena
Sauda
Pole yake
Genia Sikaluzwe
Mbona balaa hilo
Mwanahamisi
Duh sio poa
Dorophina
Dhaa hii adhabu itaigarimu klabu yake maana watu waliogewa adhabu ni tegemezi katika klabu
Fatina mfigi
Mmmh majanga
Tatu
Sio habari nzuri
Hidaya
Siku nyingine atajifunza kutokana na makosa
Ernest
Pigo kwa PSG lakini pia chama cha soka cha Ufaransa kina kazi ya kuchunguza madai ya Neymar
Zeiyana
Clabu ya PSG inawakati mgumu ukiangalia wachezaji tegemezi wote wapo nje
Adelta
Habari mbaya pole yake@meridianbettz
Johnmary joel
Kukosa ndokujifunza pole#meridianbett
Gabriel
Sheria inabid iangalie kwa upande wa pili maana sio adhabu nzur kwel Neymar alitolewa maneno ya ubaguz ndo maana alipatwa na hasira VAR lzma waangalie na hilo
Mariam mtandama
Habari njema
Angelina
Badnews
lombo
hatar
Samiah
Duuh
Janeflora malisa
Pole ney
Fatuma kasomo
Duuh
Theckla
Sio poa
Khadija
Jamani Neymar pole sana#meridianbettz
Amiri Kayera
Itaikost team kipnd ichi
Agness
Duuh pole zake
Theonestina
Duuuh majanga
Sabrina
Daah wamemuonea alipataghazabu kwaajili ya ubaguzi alio fanyiwa daaah pole Neymar
Shafii
Hili nipengo kubwa Sana kwa PSG.
Aziza mushi
Pole yake
David Pere
Pigo kwa PSG lakini pia chama cha soka cha Ufaransa kina kazi ya kuchunguza madai ya Neymar
Povel
Pigo kwa psg Matajir wa paris vle vle sheria imefuata mkondo wake
Rose kapinga
Pole neymar mambo yakawaida tuu kwenye michezo pale unapokosea lazima wakukumbushe wajibu wako.
magdalena
ilo ni funzo kwa wengine ili wawe na adabu wanapokuwa uwanjani
Shani
Nidhamu muhimu popote pale
Genia Sikaluzwe
Siyo poa
Njiku
Ubaguzi hauwezi kuisha kwenye nchi za kigeni kabisa huko barani ulaya maana tabia ukiwa tangia wapo wa dogo kudharau ngozi nyeusi
Latifa juma mohamed
Duuh pengo kubwa kwa PSG kukosekan kwa neymer kwa mech mbili.
Saupha mohamed
Duu pole yake
Hopemwaikuka
Dah! Pole yake
Issa
Hawajafany sahih