Di Maria Afungiwa Mechi 4 kwa Kumtemea Mate Alvaro.

Paris Saint-Germain itakuwa bila nyota Angel Di Maria katika michezo minne baada ya mchezaji huyo kuadhibiwa kwa kumtemea mate beki wa Marseille, Alvaro.

Di Maria amepata hukumu hiyo baada ya uchunguzi kufanyika baada ya fujo kutokea katika mchezo wa Le Classique ambao PSG ilifungwa 1-0 na timu ya Marseille Septemba 13.

Neymar,alimshutumu Alvaro kwa kumfanyia kitendo cha kibaguzi wa rangi, kitu ambacho mchezaji huyo wa Marseille alikataa kukifanya, Leandro Paredes na Lyvin Kurzawa walitolewa nje kwa kadi nyekundu,wakati Dario Benedetto na Jordan Amavi nao pia walioneshwa kadi nyekundu katika dimba la Parc des Princes.

Wakati Neymar akiendelea kutumikia adhabu yake ya kukosa mechi mbili, Di Maria atakosa michezo minne ya Ligue .

Di Maria Afungiwa Mechi 4 kwa Kumtemea Mate Alvaro.
Angel Di Maria

Lakini, Thomas Tuchel atakuwa na uwezo wa kumuita Muargentina huyo kwa mchezo na Reims siku ya Jumapili, kwani adhabu yake itaanza kutekelezwa mwezi Septemba 29.

Di Maria hatokuwepo kwa michezo ya PSG dhidi ya Angers,Nimes, Dijon na Nantes.

Baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo ya ufunguzi,PSG wameshinda michezo miwili ya mwisho tangu ligi ianze, tumeshuhudia wakiicharaza Metz na Nice na Kylian Mbappe akifunga goli lake la kwanza kwa msimu huu wa Ligue 1 baada ya kutoka Karantini kufuatia kuwa na virusi vya Corona.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

41 Komentara

    afadhali alivyofungiwa ili iwe fundisho kwa wengine maana izo ni dalili za dharau

    Jibu

    Bara ata alivyofungiwa mm simkubali ata kidogo uyu jmaa ingewezekana angefungiwa mwaka mzima kabisa

    Jibu

    Duu iyo kali tena

    Jibu

    Hili balaa zito sana kwa PSG

    Jibu

    PSG kumekucha

    Jibu

    Jamani hii kali

    Jibu

    PSG kaz ipo

    Jibu

    Hii sasa kali

    Jibu

    Sheria ifuate mkondo wake

    Jibu

    Di maria amefanya kitendo sio cha kiwana michezo, analistahili adhabu zaidi#meridianbettz

    Jibu

    Pole sana di maria lakini ndio ujifunze tabia njema mpira sio vita

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Ni sawa kabusa ajifunze nidhamu

    Jibu

    Huo ni utovu wa nizamu

    Jibu

    Staa mkubwa kama huyo kukosa nidhamu kwenye mchezo ni dharau tosha wangemuongezea adhabu tu

    Jibu

    Ni bora na iwe fundisho kwa wengine

    Jibu

    Adhabu inatakiwa ili iwe fundisho kwa wengine

    Jibu

    Sheria kali ichukuliwe ili iwe fundisho kwa wengine

    Jibu

    Sheria itate mkondo wake

    Jibu

    Ni bora ili iwe fundisho kwa wengine

    Jibu

    Mmmh hapa kazi ipo

    Jibu

    Dah alifanya vibaya mno.

    Jibu

    Adhabu ndogo hiyo wamuongezee

    Jibu

    Nidham mbovu sawasawa

    Jibu

    Wamfungie tu

    Jibu

    Ni fundisho kwa wengine

    Jibu

    Nomaa

    Jibu

    Noma sana

    Jibu

    Kitendo sio cha kiungwana mchezon

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Huo ni utovu wa nidhamu ni bora alivyofungiwa

    Jibu

    Hatar sana

    Jibu

    Nidhamu popote inahitajika

    Jibu

    PSG wameanza ligi vibaya subiri tuangalie mwisho wake utakuaje

    Jibu

    Hii mbaya sana,anastahili kuadhibiwa ameonyesha dharau kubwa sana!!

    Jibu

    Wangemfungi asicheze kabisa. Tabia chafu

    Jibu

    Adhabu kali zinatakiw zichukuliwe kwa wanaofanya vitrndo kama hivi ili matukio kama haya yasijirudie

    Jibu

    Ndo akome

    Jibu

    balaa zito kwa psg

    Jibu

    Di maria amefanya kitendo sio cha kiwana michezo, analistahili adhabu za

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.