Luis Suarez - Messi Ananijua Vizuri Sana.

Luis Suarez amesema kwamba anajivunia baada ya Lionel Messi kumtetea kufuatia kuondoka kwake Barcelona kwenda Atletico Madrid.

Suarez, 33 amejiunga na klabu ya Atletico kwa dau la Euro milioni sita (€6m) wiki hii baada ya kutokuwa sehemu ya mipango ya kocha mpya wa Barcelona Ronlad Koeman.

Swahiba wake wa karibu na nyota wa Barcelona Lionel Messi aliishambulia klabu hiyo ya Catalan siku ya Ijumaa kwa kusema “Suarez ni kama amefukuzwa”.

Luis Suarez - Messi Ananijua Vizuri Sana.
Mshambuliaji Luis Suarez

Suarez aliyeshinda mataji 13 akiwa na Barcelona, alisema anajivunia kuacha alama nzuri ndani ya Barca.

“Leo ana nijua vyema na ndiyo chanzo cha mimi kuacha alama chanya ndani ya Barca.

“Kwa sasa nimejiunga na Atletico ni hamasa kubwa.”

Suarez alifunga magoli 21 katika michezo 36 msimu uliyopita,lakini kocha mpya wa Barca Koeman hana mipango na Muuruguay huyo katika kuisuka Barca mpya.

Mshambuliaji huyo alisema kujiunga na klabu nyingine kubwa Spain ni jambo kubwa kwake.

Atletico Madrid wataanza mbio za kuwania LaLiga msimu 2020-21 wakiwa nyumbani Wanda Metropolitan kwa kuwaalika Granada siku ya Jumapili.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

37 Komentara

    hakika Messi yupo sahihi kuondoka kwa suarez ni kama kufukuzwa

    Jibu

    Timu imekamilika sana

    Jibu

    Kila la kheri Suarez maisha popote

    Jibu

    Ni kweli Suarez ana mchango mkubwa sana Barcelona

    Jibu

    Luis Suarez alikuwa na mafanikio makubwa alipokuwa Barcelona,alipaswa kuagwa kwa heshima#meridianbettz

    Jibu

    Nikweli Wanajuana vizuru ajakosea kuongea Luiz Suarez

    Jibu

    Maisha popote Kila la kheri

    Jibu

    Kizuri zaidi timu aliyojiunga nayo pia inafanya vyema katika la liga

    Jibu

    Suarez ana mchango mkubwa pale barcelona

    Jibu

    Kila la kheri popote kambi

    Jibu

    Suarez yuko sahihi walikua na chemistry nzuri Sana wakicheza na messi

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Yuko sahihi kabisah

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Kila la kheri suarez kwan kambi popote

    Jibu

    all the best

    Jibu

    Popote kambi chamsingi masilah

    Jibu

    Maisha popote kafanye kazi tu uko uendako

    Jibu

    Ameifanyia mazur barca na kiwango si kama hamna sema hayupo kwenye rada za koeman

    Jibu

    Kafanye kaz Ila kung’ata wenzio usirudie tena

    Jibu

    Kila la heri

    Jibu

    Kila la kheri mwamba

    Jibu

    Kwer alitakiw aondok km mfalme hawakumfanyia fear

    Jibu

    Suarez ana mchango mkubwa sana Barcelona

    Jibu

    saf

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Legend lives everywhere, WISHING HIM ALL THE bEST

    Jibu

    Suarez ana balaa kweny kumi na nane

    Jibu

    Kila lakheri Suarez

    Jibu

    Luis Suarez alikuwa na mafanikio makubwa alipokuwa Barcelona,kila la kheri kambi popote.

    Jibu

    Kwa sasa nimejiunga na Atletico ni hamasa kubwa.”

    Jibu

    Sio mbaya huko ni kumpiga teke chura!!!

    Jibu

    Piga kazi suarez

    Jibu

    maajabu aliokuwa anayaonesha barcelona akayaoneshe na uko alikokwenda

    Jibu

    Barca wanapoteza wachezaji wazuri sana

    Jibu

    Kila la kheri suarez ila wavu bado unakudai magoli yako

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.