Mbappe ni Mfano wa Washindi wa Ballon d'Or-Anelka.

Kylian Mbappe ni mfano wa washindi wa baadaye wa tuzo ya Ballon d’Or, hii ni kwa mujibu wa mchezaji wa zamani wa Chelsea Nicolas Anelka.

Akiwa na umri wa miaka 21 pekee mshambuliaji wa Paris Sant-Germain tayari ana mkusanyiko wa mataji mengi alishinda kombe la Dunia akiwa na timu ya Ufaransa wakati pia alifanikiwa kufika fainali ya Champions League akiwa PSG, bila kusahau ametwaa mataji nane ya ndani ya Ufaransa.

Lakini, Lionel Messi na Christiano Ronaldo wamefurahia utawala wao wa kuwa wachezaji wa hadhi ya juu ulimwenguni na kubeba tuzo hiyo miaka mingi heshima hiyo haipo mbali sana na Mbappe.

Lakini mtaifa mwenzake Anelka, ambaye katika soka lake tulimshuhudia akicheza katika mataifa kama England,Spain, France, Italy na Turkey amesema ni jambo la muda tu.

Mbappe ni Mfano wa Washindi wa Ballon d'Or-Anelka.
Mshambuliaji Kylian Mbappe.

“Kuna watu wengi ambao wanajulikana na wanazingatiwa kama vile Messi na Christiano Ronaldo lakini kwangu mimi Mbappe ambaye ni taswira halisi ya mfano wa mshambuliaji mwenye viwango vyote vinavyo hitajika kuwa mshindi ajaye wa tuzo ya Ballon d’Or,” aliiambia RMC Sport.

“Ana kasi sana, mtu makini, mwenye ufundi, ana viwango vya kufanya mambo makubwa.Amekuwa akidhihirisha hili kila baada ya muda na anaonesha hilo katika kila mchezo.

“Neymar yupo imara pia yeye pia yupo imara.

Mbappe alihusika katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Nice baada ya kurejea dimbani baada ya kumaliza siku za kujitizamia kufuatia kukutwa na maambukizi ya Corona.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

36 Komentara

    Bonge la makala

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mbape ni streika mzuri sana ila aache utoto afanye kazi yake kama strrika

    Jibu

    Mbappe yuko vizuri

    Jibu

    Mbappe yuko vizuri sana sema sasa aache anawenge sana

    Jibu

    Mbape namkubali kinyama

    Jibu

    Mbappe ni mfano wa kuigwa

    Jibu

    Ameshinda vitu vingi San kweny career yake ya soka

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Makala bomba

    Jibu

    Mbappe Yuko Vizuri 👍

    Jibu

    Mbappe yupo vizuri

    Jibu

    Habari njm

    Jibu

    Mbappe ni mcheji ambaye anajua nn anafanya awapo uwanjani

    Jibu

    Asante kwa nakala

    Jibu

    Vzr sana

    Jibu

    Mfano wa kuigwa sana mbappe

    Jibu

    Mbappe maestro anastail PFA

    Jibu

    mbappe yuko makini sana na anajua sana

    Jibu

    Mbappe anastahili hyo tuzo

    Jibu

    Mbappe yupo vizuri

    Jibu

    Kinachomnyima Tuzo nyingi Mbappe ni kuwa katika Kipindi ambacho kina Manguli wengi kwenye Soka, Huenda wakati hawa jamaa wanapotea kwenye soka na Mbapper atakuwa ameshachoka hivyo kukosa Sifa ambazo alistahili kupata/kupewa

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Namuerewa mzee wakulisaka kabumbu mbappe yupo vizuri anajua

    Jibu

    Kwa umri aliokua na mbappe hamejitaidi sana amekua na ndoto kubwa ila asikate tamaa tu kila kitu kinawezekana

    Jibu

    Mbappe yupo vizuri sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mbappe yuko vzr sana

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Akiacha utoto ni mchezaji mzur San uwanjan

    Jibu

    Mbappe yuko vizuri

    Jibu

    Yupo vzr mbappe

    Jibu

    Namkubali sana mbape

    Jibu

    anastahili

    Jibu

    Mbappe alihusika katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Nice baada ya kurejea dimbani baada ya kumaliza siku za kujitizamia kufuatia kukutwa na maambukizi ya Corona.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.