Ligi Kuu ya Uingereza – EPL, imeripoti visa 10 vya virusi vya COVID19 katika majibu ya vipimo vya mara ya mwisho.
Matokeo ya visa hivi yametokana na vipimo vilivyofanyika kati ya tarehe 21-27 Septemba ambapo wachezaji pamoja na wafanyakazi takribani 1595 walipimwa.
Idadi hii ni kubwa ndani ya wiki moja kwa msimu huu wa EPL – 2020-2021 ikiwa pia ni ungezeko la visa 7 ikilinganishwa na majibu ya vipimo vya wiki iliyopita.
Idadi kubwa kwa wiki iliyopita kwa msimu huu ilikuwa ni 3 ikiwa ni matokeo ya vipimo vilivyofanyika kati ya tarehe 7-13 Septemba.
Taarifa ya EPL inasema, “Wachezaji pamoja na wafanyakazi waliokutwa na maambukizi ya COVID19, watajitenga kwa muda wa siku 10.”

Katika idadi hii, West Ham United, walitangaza siku ya Alhamisi kuwa kocha wao – David Moyes pamoja na wachezaji Issa Diop na Josh Cullen. Walikutwa na maambukizi ya COVID19 na tayari wameshaanza kujitenga na jamii ya West Ham kwa muda.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Caroline
Duh corona noma
Aziza mushi
Duh habari mbaya.
Nasra
Coronavirus sio poa
Lydia Emmanuel Magoti
Duu irigonjwa ni tishio Sana istoshe linawasili sanasana ngozi nyeupe uko nchi za wenzetu mungu awasaidie alitokomeze iligonjwa La Corona sio poa
Tatu
Corona sio poa
magdalena
huu ugonjwa umekuwa changamoto kubwa sana aswa katika nchi za wenzetu ni Mungu tu ndo mtetezi
Dorophina
Corona ishakuwa Ni shida
Zeiyana
Kwa wapenzi wa soka hii imekua habari mbaya sana kunauwezekano wa kustop ligi idadi imekua ikiongezeka kwa kasi sana
Sauda
Corona hatari sana
Ester mmakasa
Mungu saidia iondoke kabisa.
Janeflora malisa
Janga kubwa san hil dah mungu nyoosha mkon’ juu ya gonjwa hil
Antony Luseno
Idadi inazidi kupunguwa ukilinganisha na mwanzo
Faraja molell
Corona imeleta athar sana
Angelina
Corona nuksi
Shani
Corona ni ugonjwa unasumbua San michezon tahadhari inatakiwa ichukuliwe zaid
Hopemwaikuka
Mungu tunusuru na hili janga
jullie
corona noma sana
Hidaya
Corona bado ipo tahadhari muhimu
Gabriel
Corona sio poa
Samiah
Corona sio poa
Rose kapinga
Corona janga la kimataifa
Sabrina
Mmh ugonjwa huu nitishio jaman
Amiri Kayera
Covid19 bado tatzo Epl
Issa
Korona ni tishio
lombo
duh
Adelta
Jamaniiiii coronavirus sio poa kabisa mwenyezi mungu awasimamiye
felister
corona bado tatizo
Saupha mohamed
Corona nomaa
Mwajumah
Duuh habari mbaya hii
Fatina mfigi
Habar mbay
Elika
Corona sio poa
Latifa juma mohamed
Covid19 sio poa,maan ishakuwa km natural hazard disease, mungu atupiganie ,awapiganie warud dimbani.
aisha
Covid 19 imekua tishio la dunia
David Pere
Corona ni ugonjwa unasumbua San michezon tahadhari inatakiwa ichukuliwe zaid