NBA: Doc River Aondoka LA Clippers

Aliyekuwa kocha wa timu ya LA Clippers inayocheza ligi ya NBA – Doc River, ameachia nafasi yake ya ukocha baada ya kuinoa timu hiyo kwa miaka 7.

LA Clippers walitolewa kwenye nusu fainali ya NBA – Western Conference licha ya kuwa waliongoza kwa 3-1. Denver Nuggets walipindua matokeo na kushinda mchezo huo kwa matokeo ya 4-3 katika michezo 7.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, River amesema anashukuru kwa muda wote aliokuwepo LA Clippers.

“Asanteni watu wote wa Clippers kwa kuniruhusu mimi kuwa kocha wenu na msaada wenu wa kuifanya Clippers kuwa timu ya ushindi.

“Nilipochukua hii nafasi, nilitaka kuifanya timu hii kuwa ya ushindi na kuleta mataji kwenye timu hii.

“Japokuwa nilifanikiwa kukamilisha malengo yangu, sitaweza kuendelea kuyaona yote yakitimia.”

Mmiliki wa LA Clippers – Steve Ballmer, amemsifu Rivers kama mkufunzi hodari, balozi mzuri na muhimili wa kutegemewa wakati wote kwenye timu hiyo.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

35 Komentara

    Mmmh

    Jibu

    ingawa ameondoka ila kaacha nafasi nzuri sana na atakumbukwa siku zote kwa kazi nzuri alio ifanya

    Jibu

    River histor yake haiwezi kufutika

    Jibu

    Ni mfano wa kuigwa kwasababu alifanya timu yake kuwa ya ushindi..

    Jibu

    Ameacha historia nzuri kwenye timu yake watamkumbuka

    Jibu

    Duu kwann kaondoka kaacha istoria tutamkumbuka Doc River

    Jibu

    Ameistoria sana

    Jibu

    Asante kwa taarifaa meridianbet

    Jibu

    Safari njema kwake

    Jibu

    Timu ya clippers kamwe awezi kukuaha umeacha alama kubwa

    Jibu

    Kila lakheri huko aendako.

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Historia yak siwez kufutika

    Jibu

    Kila kheri

    Jibu

    Atakumbukwa kwa alichokifanya

    Jibu

    Doc River ameifanyia clippers haki kwa miaka alioitumikia na alifankiw kuifikisha clippers nusu fainali kwenye mashindano ya western conference.

    Jibu

    Mama yako yataish

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    NBA n Moto 🔥🔥

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Akumbukwe doc river

    Jibu

    Tutamkumbuka Doc River

    Jibu

    Simba inatim nzur Ila inaitaj kujiandaa vzr

    Jibu

    Kaacha rekod kubwa clippers

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Atakumbukwa kwa historia yake nzuri

    Jibu

    kwanini ameondoka…?

    Jibu

    NBA atalii

    Jibu

    River historia yake haiwez kufutika

    Jibu

    Dah sio poa

    Jibu

    Atakumbukwa Sana kwa kile alichokifanya.

    Jibu

    Kaacha rekodi ambayo haitosahaulika

    Jibu

    Doc River amefanya kazi nzuri sio mbaya kutulia pembeni

    Jibu

    Japokuwa nilifanikiwa kukamilisha malengo yangu, sitaweza kuendelea

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.