Joe Gomez Anahofiwa Kupata Jeraha Kama Virgil Van Dijk

Wasiwasi umetawala kwa wapenzi wa Liverpool baada ya taarifa za jeraha la Joe Gomez, ambaye anaripotiwa huenda akawa na jeraha sawa na la lile linalomuweka Van Dijk nje ya dimba.

Nyota huyu mwenye miaka 23 ameenda kufanyiwa vipimo kujua hali ya jeraha lake, lakini ripoti ya awali inawapa hofu wana-Liverpool.

Kama ikiwa ripoti kamili baada ya uchunguzi itathibitisha ukubwa wa jeraha la Joe Gomez katika kiwango ambacho kinahofiwa basi itakuwa ni taarifa mbaya sana kwa Liverpool.

Liverpool tayari wameshampoteza Van Dijk kwa sehemu ya msimu iliyosalia, ni wazi kuwa hawapo katika nafasi ya kumpoteza tena mchezaji kama Gomez kwa wakati huu.

Van Dijk alipata jeraha katika Debi ya Merseyside na amefanyiwa upasuaji mapema mwezi huu. Wakati huo Trent Alexander Arnorld naye anatarajiwa atatumia takribani mwezi mzima kuuguza jeraha lake.

Thiago Alcantara na Alex Oxlade-Chamberlain pia hawapo dimbani. Huu ni mtihani, bila shaka Guardiola anaandaa namna bora ya kuushinda.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

19 Komentara

    Gud news

    Jibu

    majeraha yamekuwa ndo changamoto kubwa sana kwa wachezaji wengi na iyo inatokana na kukaa kipindi kirefu bila mazoezi sababu ya gonjwa la corona

    Jibu

    Dah majeraha yamekuwa tishio kwa baadhi ya vilabu huko barani ulaya

    Jibu

    Pengo kubwa kwa liverpool

    Jibu

    Baadhi ya vilabu ulaya majeraha yamezidi inabidi wacheze kwa umakini sana

    Jibu

    Dah sio bahari njema kwa Liverpool

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Liverpool wanachangamoto sana kwa wachezaji wao kuukia mara mara wafanye kumsajili mtu mwingine

    Jibu

    Pengo kubwa kwa Liverpool

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Wasiwasi sio mchezo naukiwa nawasiwasi utofanya kitu kwenye kaz

    Jibu

    Dhhu pole sana

    Jibu

    Daaah pole sana

    Jibu

    Asnt kwa taarif meridianbet

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Ndo maisha soka yalivyo.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.