Kocha wa Chelsea Frank Lampard anataka vilabu vya Premier League kuwa na nafasi ya ya sabu tano badala ya kuongezeka kwa majeraha.
Lampard amejiunga na wito wa mameneja wengine wa Ligi Kuu ya Uingereza kuruhusu nafasi tano katika mechi zake kwa mara nyingine. Awali mfumo huu ulitumika baada ya changamoto ya corona. Lakini baadhi ya vilabu viliona ni sawa kuachana nao mwanzoni mwa msimu mpya.
EPL ndiyo mashindano makubwa pekee Uropa, ambayo yalichagua kurudi kwa sabu tatu mwanzoni mwa kampeni ya 2020/21 kama ili8vyokuwa awali, baada ya tano.
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp na mwenzake wa Manchester City Pep Guardiola wote wamekosoa uamuzi wa sabu 3 wakizingatia ongezeko kubwa la idadi ya majeruhi hadi sasa msimu huu.
Klabu za Ligi ya Soka ya Uingereza zilipiga kura kupitisha sheria hiyo mbadala tano mapema Alhamisi.
“Nadhani ni jambo ambalo tunapaswa kushughulikia tena na vilabu. Mazingira hayajabadilika tangu tulipokuwa na sabu tano mwanzoni mwa msimu mpya,” -Lampard
Ni matarajio ya Lampard na mameneja wengine kuwa sabu tano zitaruhusiwa tena, ili kutatua changamoto ya majeruhi.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Angelina
Nice update
Shakila mrope
Good
Adelta
Lampard amefanya vizuri kwenda kwenye wito
magdalena
bora epl wameweka sheria iyo maana vilabu vingi vilikuwa katika wakati mgumu kwa kuwa na majeruhi wengi
zeiyana
Kama hitapitishwa hifaha ziidi kutokana na janga hili la korona
Fatina mfingi
Ni vizur sababu vilabu vingi vinamajeruh sana itakuwa Ni kitu kizur
Sauda
Inapendeza..
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Lampard kwakuiunga mkono Sabu tano
Caroline
Sub5 nzuri sana
Povel
Sub 5. Mashabik na wachezaj na makocha inabid wakubal kwa kipind hich cha covid 19
Hopemwaikuka
Hyo njia ni nzur tu mbona
aisha
Ndio mpango mzima
Saupha mohamed
Safi
Ester jackson
Inability kwa ujla wa makosa wawe sasa na kuunga mkono kwa hili
Elika
Bora kuna sheria maana ingekuwa sio poa
Sania
Sub 5 sio mbaya
Tatu
Safi
warda
Lampard yuko poa sana