Lewis Hamilton Anastahili Heshima Kubwa.

Baada ya kuweka rekodi sawa na bingwa mara 7 wa mbio za langalanga – F1 (Michael Schumacher), Andy Murray anasema Lewis Hamilton anastahili kuungana naye kama wanamichezo wenye heshima kubwa Uingereza.

Kunataarifa kuwa Lewis Hamilton atatunukiwa cheo cha ‘knighthood’ kwenye New Year Honors. Hizi ni tuzo ambazo zinatolewa na Malkia wa Uingereza – Queen Elizabeth II.

“Kwa mafanikio aliyoyapata kama mwanamichezo, anastahili. Ni kati ya wanamichezo waliofanikiwa zaidi kwenye historia ya nchi hii.” Murray ameiambia Good Morning Britain 

Andy Murray Alipotunukiwa Cheo cha Knighthood mwaka 2017.

Andy Murray ambaye alitunukiwa cheo hicho 2017, aliongeza kuwa “anasaidia mambo mengi nje ya uwanja, kwahiyo ninaweza kusema anastahili tuzo hiyo kulingana na mafanikio yake.”

Lewis Hamilton alitunukiwa tuzo ya MBE mwaka 2009, siku za karibuni alimwambia Sally Nugent wa BBC kuwa “itakuwa ni siku yake ya furaha sana kama atapata nafasi ya kutunukiwa tuzo na Queen Elizabeth II kwa mara nyingine”.

Hamilton Alipotunukiwa tuzo ya MBE na Queen Elizabeth II mwaka 2009.

Wiki iliyopita, Bingwa wa F1 mwaka 1996 – Damon Hill alisema Lewis Hamilton amevunja vizuizi vingi kupitia mafanikio yake.

“Cheo cha knighthood haitokuwa ni utambuzi wa udereva wake tu, lakini pia ni kama dereva mwenye rangi nyeusi ambaye amefungua milango kwa watu wengine ambao sio weupe.

“Ameondoa utamaduni wa kuwa hiki hakiwezekani, kwamba kunamaeneo huwezi kufanikiwa kutokana na rangi ya ngozi yako. Ameondoa kabisa huo mtazamo.”


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

28 Komentara

    ahsatnte kwa taarifa

    Jibu

    Hamilton ana historia ya kibabe.

    Jibu

    Historia yake nzuri sana anastahili pongezi hamilton

    Jibu

    Lewis Hamilton anastahili pongezi kubwa sana kwan ameweka historia nzuri tena ya kibabe

    Jibu

    Ameweka historia nzuri mana kupewa kiapo hicho ni heshima kubwa

    Jibu

    Anastahili pongezi kwa rekodi nzuri

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Kweli kabisa.amefanya mambo mengi mazuri

    Jibu

    Lewis Hamilton anastahili sifa

    Jibu

    Historia yake nzuri

    Jibu

    duh!!!hana histori nzuri sana

    Jibu

    He deserve that

    Jibu

    Kweli kabisa jamaa anasitahili tunzo ya pekee

    Jibu

    Ni kwl lewis hamilton anastail tuzo ya pekee katika mashindano hayo

    Jibu

    Lewis Hamilton anasitahili pongezi nyingi kwa dhamira yake isiyoyumba kutafuta mafanikio na akayapata. Vikwazo vilichochea nia yake ya kusonga mbele kwa kasi zaidi. Ni moja ya mashindano magumu zaidi na ya kuvutia

    Jibu

    Shukrani kwa taalifa

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Wanamichezo kama hawa ni mfano wa kuigwa

    Jibu

    Nice upadate 👍

    Jibu

    Anastahl pongez

    Jibu

    Nice

    Jibu

    New updates.

    Jibu

    History nzuri

    Jibu

    Ameweka istoria nzuri maana kupewa kiapo chaeshima kubwa

    Jibu

    Ameweka historian nzuri

    Jibu

    Lewis Hamilton jeshi wa Formula One

    Jibu

    Hamilton huwa anajuhudi sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.