Maneno ya Tuchel Mbappe Kutokuwa na Magoli UCL

Thomas Tuchel anasema kuwa hawezi kuelezea ukame wa magoli wa Kylian Mbappe kwenye Ligi ya Mabingwa lakini ana imani nyota huyo wa Paris Saint-Germain atarejea kwenye fomu na kuendelea kuleta mchango mkubwa kikosini.

PSG wapo kwenye kibarua kigumu zaidi msimu huu, wanakabiliwa na changamoto ya kupenya kwenye 16 ya michuano hii ya UCL baada ya muendelezo wa matokeo yasiyoridhisha sana kwenye hatua ya makundi.

United, baada ya kushinda mechi kule Paris, wanaongoza Kundi H wakiwa na alama tisa, huku PSG na RB Leipzig wakiwa na alama sita kuelekea michezo miwili ya mwisho.

Mbappe

Mbappe hajafunga bao kwenye Ligi ya Mabingwa tangu ushindi wa 5-0 dhidi ya Galatasaray mnamo Desemba 11 mwaka jana, licha ya kupata mashuti 11 – pamoja na nafasi moja muhimu muhula huu.

Akizungumzia juu ya Kylian Mbappe

“Siwezi kuelezea kwa sababu ana kila kitu kinachohitajika kupata alama katika kila ngazi. Ana ubora, uweo na uzoefu wa kuamua.”

Ni matumaini ya meneja huyu kuwa Mbappe atarejea kwenye njia zake za ushindi na kuendelea kuwa tishio, licha ya mafanikio hafifu mpaka sasa.


 

FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

INGIA MCHEZONI

21 Komentara

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Mbappe yuko poa sema majeraha tu ndo yamemuangusha

    Jibu

    Mbappe namkubali sana hila majeraha ndio yanamkosesha raha

    Jibu

    Mbappe Yuko poa sana

    Jibu

    Wameshuka sana daraja inatakiwa kujitahidi

    Jibu

    Siku hazifanani

    Jibu

    Mambo yanabadilka

    Jibu

    Ukmbappe yupo vizuri ila kiwango chake kimeshuka kidogo

    Jibu

    Mbappe Yuko poa

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Mbape amekua na kiwango kinachoshuka na kupanda

    Jibu

    Niceupdate

    Jibu

    Ckuhazifanani

    Jibu

    Duu sio poa

    Jibu

    Mmmh majanga

    Jibu

    Mbappe yupo vizuri

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.