Barcelona wanavutiwa na nahodha wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang na wako tayari kumtumia Philippe Coutinho kama chambo kumnasa.

Miamba hiyo ya Kikatalani bado inaendelea kuchukua vipande kufuatia kuondoka kwa Lionel Messi, na rais Joan Laporta alisema kuwa wana deni la Pauni bilioni 1.15 licha ya kumtoa Muargentina huyo.
Lakini na Ronald Koeman bado anahitaji kujaza nafasi ya kufunga mabao iliyoachwa na Messi, ripoti ya Sky Sports Aubameyang, 32, anaonekana kama usajili mzuri – ingawa haiwezekani kuwa mpango wa moja kwa moja wa mshambuliaji huyo.
Klabu hiyo ya LaLiga inaripotiwa kufurahi kumtoa mchezaji wa zamani wa Liverpool Coutinho kuwa sehemu ya kubadilishana ili kufanikisha uhamisho huo.
Itakuwa pigo kwa Mikel Arteta kumpoteza nahodha wake mwishoni mwa dirisha lakini Arsenal imekuwa ikijaribu kusaini kiungo wa ubunifu na Coutinho anafaa kwa mpango huo.

Wote Aubameyang na Alexandre Lacazette walikosa mchezo wa kichapo cha 2-0 siku ya ufunguzi huko Brentford.
Ni muda wa kuwa milionea na kasino za mtandaoni za meridianbet, mchezo wa Sahara Riches unakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu. Matajiri wa jangwani wanataka wakupe mkwanja leo.



Issa
The gunners inabomoka
Sania+mapua
Meyang atawafaa?
Sarah
Meyang Yuko vizuri