Wolfsburg Waondolewa Kwenye Michuano ya DFB-Pokal

Wolfsburg wameondolewa kwenye DFB-Pokal baada ya kuzidisha kubadili wachezaji wakati wa mchezo wao na Preussen Muenster wa daraja la nne katika raundi ya kwanza ya mashindano.

Wolfsburg Waondolewa Kwenye Michuano ya DFB-Pokal

Timu ya Mark van Bommel iliruhusiwa mabadiliko matano, lakini badala yake walifanya sita, huku mwamuzi wa mchezo akishindwa kutambua walitumia mchezaji wa ziada katika mchezo ambao walishinda 3-1.

Hii sio mara ya kwanza kwa korti ya michezo kuwaondoa Wolfsburg kutoka DFB-Pokal, kwani walitupwa pia nje ya mashindano mwaka 2004 baada ya kumchezesha Marian Hristov, ambaye alikuwa amesimamishwa kutoka kwenye klabu yake ya zamani, Kaiserslautern.

Wolfsburg Waondolewa Kwenye Michuano ya DFB-Pokal

Hiyo ni sawa na ile iliyotokea kwa Real Madrid katika Copa del Rey mwaka 2015/16, wakati walimtumia Denis Cherishev licha ya yeye kutostahili kuchaguliwa baada ya kukusanya kadi tatu za njano katika toleo lililopita.


MUDA NI MKWANJA, MKWANJA NI SAHARA RICHES.

Ni muda wa kuwa milionea na kasino za mtandaoni za meridianbet, mchezo wa Sahara Riches unakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu. Matajiri wa jangwani wanataka wakupe mkwanja leo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Pole yao

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Hii noma

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.