Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha klabu hiyo kuanza kufanya mazoezi na swahiba wake, Jack Wilshere.
Wilshere anarejea Arsenal kama mchezaji huru baada ya kuachana na Bournemouth. Japokuwa, kurejea kwa Jack haimaanishi klabu hiyo itamsajili. Badala yake, kiungo huyo amepewa nafasi ya kuendelea kujiweka imara akiwa na kikosi cha The Gunners kwenye mazoezi ya timu hiyo.
Arteta amenukuliwa akisema “tupo tayari kumsaidia (Jack) kwa chochote ambacho tunakiweza. Analijua hilo na hiyo ndiyo hali halisi”
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


