Griezmann Azomewa na Mashabiki wa Atletico

Antoine Griezmann hakuwa na mwanzo rahisi katika msimu wake baadaya kupata joto la mashabiki wa Atletico baada ya kurejea akitokea Barcelona.

Griezmann Azomewa na Mashabiki wa Atletico

Griezmann alirejea katika klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid akitokea Barcelona kwa mkopo lakini hakuagwa vizuri wala kukaribishwa vizuri ndani ya Madrid.

“Giezmann anachangamoto kubwa sababu ya kile kilichotokea hapo nyuma,” alisema kocha wa Atletico Madrid Diego Simeon.

Baada ya Lionel Messi kuondoka Barcelona mashabiki na klabu walitarajia makubwa kutoka kwa Mfaransa lakini kiwango kibovu alichokionyesha kwenye mchezo dhidi ya Getafe, Mashabiki wa Barcelona walimzomea sababu analipwa mshahara mkubwa.

Pia hata baada ya kutua Atletico Madrid akiwa uwanjani kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Porto Griezmann alipigiwa miluzi na kuzomewa na mashabiki wa Atletico kwa kushindwa kuonyesha kiwango kizuri.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.