Cesar Chavez: Nitamdunda Mayweather Kama Ikitokea

Cesar Chavez anataka kupigana na Floyd Mayweather Jr. Mabingwa hao wawili walikutana kwenye kongamano la World Boxing Council huko Mexico na kutaniana kuhusu pambano la siku zijazo.

Cesar Chavez: Nitamdunda Mayweather Kama Ikitokea
Cesar Chavez akizichapa na Roger Mayweather mwaka 1989

Gwiji huyo wa ndondi wa Mexico alifichua kwamba wote wawili walizungumza kuhusu kuingia ulingoni na kusema wanaweza kupigana raundi nne bila tatizo baada ya kustaafu kwa miaka kadhaa.

“Mayweather anataka tufanye pambano, lakini namwambia siko kwa kitu kama hicho tena, tuone kama kitatokea labda naweza kwenda naye raundi nne,” alisema Chavez.

Acha tuone kama itatokea. Labda naweza kwenda naye raundi nne,

Chavez alihakikisha kwamba anaweza kumpiga Mmarekani huyo na kumwadhibu inavyostahili, licha ya rekodi yake ya kutoshindwa ulingoni. Pia alimkumbuka Roger Mayweather, mjomba wa Mayweather, alimpiga mara mbili.

“Alikuwa akisema yeye si mjomba wake (Roger Mayweather) na nikasema ‘hilo halijalishi, nitakudinda’.”

Habari hizo zilikuja kama mshangao kwa kila mtu kwenye hafla hiyo. Rais wa WBC, Mauricio Sulaiman, hata alitoa makadirio ya tarehe na mahali pa pambano hilo.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.