Man United Inawalenga Viungo 3 Januari Hii!

Manchester United wameripotiwa kuandaa orodha ya viungo watatu wanaoweza kuwasajili dirisha la uhamisho la mwezi huu.

Huku hatima ya Paul Pogba, Donny van de Beek na Jessie Lingard ikiwa haijafahamika, Mashetani Wekundu wako tayari kuajiri kiungo mpya wa kati kabla ya tarehe ya mwisho ya saa 11 jioni Januari 31.

Kwa mujibu wa gazeti la Manchester Evening News, Franck Kessie wa AC Milan, Boubacar Kamara wa Marseille na Denis Zakaria wa Borussia Monchengladbach ni viungo watatu ambao United wanaweza kufikiria kuanza nao mazungumzo siku za usoni.

Wachezaji hao watatu wako huru kusaini mikataba ya awali na vilabu vya kigeni, huku Zakaria, 25, tayari amethibitisha kwamba ataondoka Bundesliga mkataba wake utakapokamilika. Man United wanapata ushindani kutoka vilabu kadhaa kwa Kessie.

Kwa upande wa Kamara wa Marseille, United inadaiwa kuongoza katika mbio za kumsajili Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 22 ambaye anatarajiwa kuondoka kwa wababe hao wa Ligue 1.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.