Mohamed Salah ameingia kwenye tuzo za FIFA na atachuna na mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or Lionel Messi na mshindi wa Globe Soccer Award Robert Lewandowski kwenye tuzo za FIFA best award.
Tuzo za FIFA “Best Awards” zinapigwa na mashabiki kwa asalimia 25, asimilia zinazobaki kura zaniapigwa na makocha watimu ya taifa, makapteini na waandishi wa habari za michezo duniani.

Leo ijumaa FIFA wametangaza majina ya wachezaji ambao wanania tuzo hizo ambazo zitafanyika Januari 17, Mohamed Salah amekuwa namba tatu kati ya Messi na Lewandowski pia wachezaji wengine waliotajwa ni Erling Haaland, Kylian Mbappe na Jorginho.
Lewandowski ndie anayeshirkilia tuzo hiyo kwa sasa ambapo alichukua mbele ya Cristiano Ronaldo na Messi, kwa upande wa wanawake mshambuliaji wa Chelsea Sam Kerr ameungana na wachezaji wa Barcelona Alexia Putellas na Jenni Hermoso kuwania tuzo hiyo huku Putellas akiwa na tuzo ya Ballon d’Or aliyoshinda mwaka jana.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.


