Medvedev - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Medvedev Afuzu 16 Bora Australian Open.

Tennis

Mchezaji namba 2 kwa ubora duniani (wanaume), Daniil Medvedev, amefuzu hatua ya 16 bora kunako mashindano ya Australian Open. Medvedev alikua uwanjani akichuana na Botic van de Zandschulp katika uwanja …

Australian Open: Medvedev Afuzu Hatua Ya 2

Tennis

Jiji la Melbourne, Australia, linaendelea kuburudika na mashindano ya Australian Open yanayoendelea nchini humo. Baadhi ya mastaa wanaendelea kufanya vizuri viwanjani. Daniil Medvedev amefanikiwa kutinga hatua ya pili ya michuano …

US Open: Medvedev Bingwa 2021.

Tennis

Ilikua ni kama ndoto ambayo sasa ni uhalisia, Daniil Medvedev atwaa ubingwa wa US Open 2021 mbele ya Novak Djokovic. Pengine hakuna aliyemdhania Medvedev kwenye mchezo wa fainali, lakini lolote …

US Open: Medvedev Atinga Nusu Fainali

Tennis

Baada ya kupoteza mchezo wa fainali ya US Open 2019, hii ni nafasi kwa Daniil Medvedev kurekebisha makosa na kunyanyua kombe, itawezekana? Medvedev alitinga fainali yake ya kwanza ya Grand …

Daniil Medvedev Kuikosa Monte Carlo Masters

Tennis

Mchezaji wa tenesi namba 2 kwa ubora duniani (wanaume) – Daniil Medvedev, atakosekana kwenye mashindano ya Monte Carlo Masters baada ya kukutwa na maambukizi ya COVID19. Medvedev amewekwa kwenye uangalizi …

Miami Open: Osaka na Medvedev Watolewa Nje.

Tennis

Pengine ni matokeo ambayo wengi hatukuyatarajia kwenye mashindano ya Miami Open 2021. Upande wa wanawake, Naomi Osaka amefungashiwa virago vyake huku Daniil Medvedev akiungana naye kwa upande wa wanaume. Osaka …

Miami Open: Medvedev Afuzu, Norrie Atolewa.

Tennis

Mambo yanazidi kunoga kwenye mchezo wa tenesi. Safari hii tunaangazia mashindano ya Miami Open 2021. Mzunguko wa tatu umekuwa na matokeo ya aina yake, wengine wanafuzu huku wengine wakifungasha virago …

Australian Open: Medvedev Aachwa na Kocha

Tennis

Katika hali isiyo ya kawaida kwenye Australian Open, kocha wa Daniil Medvedev aliondoka na kumuacha mchezaji huyo akitaabika uwanjani. Kocha wa Medvedev – Gilles Cervara,  alitoka uwanjani wakati mchezaji huyo …

Daniil Medvedev Bingwa ATP Finals 2020

Tennis

Mashindano ya ATP Finals 2020 yamemalizika na Daniil Medvedev ameumaliza mwendo kwa kubeba taji kubwa zaidi kwenye maisha yake ya uchezaji tenesi mpaka sasa. Fainali ya ATP 2020 ilimkutanisha Medvedev …

ATP: Djokovic Apoteza Kwa Medvedev

Tennis

Kunako Mashindano ya ATP Finals 2020, mchezaji namba 1 kwa ubora duniani – Novak Djokovic, ameangukia pua kwa Daniil Medvedev katika mchezo wa kuisaka tiketi ya nusu fainali. Djokovic amejikuta …

1 2