Medvedev Afuzu 16 Bora Australian Open.

Mchezaji namba 2 kwa ubora duniani (wanaume), Daniil Medvedev, amefuzu hatua ya 16 bora kunako mashindano ya Australian Open.

Medvedev alikua uwanjani akichuana na Botic van de Zandschulp katika uwanja wa Margaret Court Arena. Daniil anaingia kwenye mashindano haya akiwa na kumbukumbu ya kucheza fainali mwaka jana na pia, ni bingwa mtetezi wa US Open mwaka huu.

Ushindi wa seti  6-4 6-4 6-2, unamvusha Daniil kwenye hatua ya 4 na sasa, atachuana na mshindi kati ya Christopher O’Connell au Maxime Cressy.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe