Dustin Amtwanga Conor McGregor kwa TKO.

Dustin Poirier mpiganaji wa UFC wa Marekani alimpiga kwa TKO Conor McGregor mapema Jumapili katika mechi inayotarajiwa sana ya Mashindano ya Ultimate Fighting ambayo ilimwacha McGregor chini katika raundi ya pili.

Dustin Amtwanga Conor McGregor kwa TKO.

“Sikuwa sawa kama vile ningehitaji kuwa. Ni kutokuwa na shughuli,” McGregor, wa Ireland, alisema katika mahojiano yaliyochapishwa kwenye Twitter baada ya pambano.
Lakini aliapa kuendelea kupigana mwaka huu.

“Lazima niifute vumbi na kurudi na ndio hiyo. Na ndivyo nitafanya.”
Aliongeza “Haukuwa usiku wangu”  juu ya kupoteza kwake.

Lakini Mmarekani huyo alifanikiwa kulipiza kisasi, baada ya kuonekana kuzidiwa na mateke mabaya ya mguu wa McGregor raundi ya kwanza na kisha kupata nguvu katika raundi ya pili.

Poirier alimzimisha McGregor, akimpelekea makonde mengi katika kichwa kabla ya makofi kadhaa na Conor kuwa mtu asiyeweza kujitetea  na  kumaliza pambano baada ya dakika mbili na sekunde 32 za raundi ya pili.

Kufuatia ushindi wake, Poirier alisema katika mahojiano kwenye Twitter alihisi kama “alikuwa mzuri sana” dhidi ya McGregor.
“Niko hapa kushinda,” aliongeza.


USHINDI UPI NI MKUBWA KWAKO, £2,000,000? 🤑

Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.

INGIA MCHEZONI

5 Komentara

    Dustin ni noma sanaaa

    Jibu

    Dustin ni noma

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Anastahili pongezi 👏👏

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.