Al Sadd: Tunamkataba wa Miaka Miwili na Xavi

Klabu ya Al Sadd imejitokeza na kusema kwamba inamkataba wa miaka miwili na kocha wao Xavi Hernandez baada ya kocha huyo kuhusishwa na kurithi mikoba ya Ronald Koeman kufuatia kutimuliwa na Barcelona.

Al Sadd kwa sasa wapo kileleni mwa Qatar Stars League na wameshinda katika michezo yao saba iliyopita msimu wakati siku ya leoJumamosi watakabilana na timu iliyo nafasi ya anane Al Ahli Doha katika uwanja wa nyumbani.

“Kuhusiana na kile kilichoenea hivi karibuni, uongozi wa Al Sadd unathibitisha tena kwamba Xavi ana mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo na anaangazia kikamilifu mechi zijazo za timu, ili kudumisha uongozi wetu kileleni mwa ligi na kutetea ubingwa, soma taarifa ya Al Sadd kwenye Twitter.

Xavi pia alisisitiza siku ya jana kwamba anazingatia kazi yake na timu na hataki kuongea chochote kuhusiana na kinachoendelea.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe