Conor Benn anataka kumpeleka Amir Khan ‘kwenye ustaafu’ katika pambano litakalo wakutanisha Waingereza na anaamini anahitaji tu ngumi moja kwaajili ya knockout.
Bondia huyo wa miaka 24 ambaye hajapigwa alitoa changamoto kwa Khan baada ya kumzaba Samuel Vargas kwa dakika moja tu na sekunde 22 za ushindi wa nguvu katika uwanja wa Copper Box Arena siku ya Jumamosi usiku.
Benn ameelezea heshima yake kwa Khan, bingwa wa zamani wa ulimwengu, lakini mshindani wa uzito wa welter anaamini anauwezo wa kumshinda bondia huyo wa miaka 34.
“Bila swali,” Benn aliiambia Sky Sports. “Ninazidi kuwa na nguvu na inathibitishwa kuwa nina nguvu.
“Nimerusha ngumi moja tu!. Nimepeleka ngumi moja katika raundi hizo 12 na mara tu nitakaponuka damu, haendi popote.”
Benn ameyakataa mapambano ya Kell Brook, akifafanua jinsi bingwa huyo wa zamani wa IBF alivyompa ushauri juu ya Vargas.
Mkufunzi Tony Sims anataka Benn aongeze ustadi wake wa kurusha makonde mengi na mechi nyingi kabla ya uwezekano wa kumkabili Khan mwishoni mwa mwaka.
“Nimekuwa nikizungumza na Eddie Hearn kuhusu mapambano yake yafutayo,” Sims aliiambia Sky Sports. “Tutakaa chini na kuzungumza.
Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.
warda
Kumpiga mtu KO sio mchezo