Bondia Canelo Alvarez (57-1-2, 39 KOs) anatazamia dili la £119m, pambano la tatu na Matchroom’ baada ya kutangaza pambano la kwanza dhidi ya bingwa wa uzito wa juu wa WBA, Dmitry Bivol (19-0, 11 KOs) mwezi Mei huku Gennady Golovkin akitarajiwa kufuatiwa miezi minne baadaye.

Canelo Kuzichapa na Dmitry Bivol na Gennady Golovkin

Bingwa huyo asiyeshindwa wa uzani wa super middle atapanda uzani wa light heavy kwa mara ya pili Mei 7 kumenyana na bingwa wa WBA Dmitry Bivol huko Las Vegas.

Endapo Álvarez atashinda, na kama Gennady Golovkin atampiga Ryota Murata nchini Japani mwezi wa Aprili, Álvarez na Golovkin watapigana tena kwa mara ya tatu mwishoni mwa majira ya kiangazi.

“Kwangu mimi, ni kuendelea kutengeneza historia, sawa?” Álvarez alisema Jumatano alipokuwa akifungua show ya pambano lake na Bivol, lililopangwa kwa T-Mobile Arena. “Ninapenda wazo la kwenda 175 na kupigana (Bivol), mpiganaji wa pili bora katika kitengo hicho, bingwa. Hiyo ni changamoto nzuri kwangu.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa