Golikipa namba moja wa Manchester United David de Gea amesema kwambaanaweza kumalizia muda uliyosalia kwenye soka lake huko Manchester United.

De Gea: Naweza Kustaafia Hapa Man United

De gea ambaye alikuwa akiichezea Atletico Madrid kabla ya kujiunga na Man United mwaka 2011 anatarajia kukabiliana na klabu yake hiyo ya zamani siku ya Jumatano katika usiku wa Ligi ya Mabingwa katika uwanja wa Wanda Metropolitano kwa mara ya kwanza tangu aondoke miaka 10 iliyopita.

Kwa mujibu wa takwimu De Gea anashika namba mbili kwa kuzuia mabao mengi nyuma ya Kepa Arrizabalaga kwenye michuAno yote kwa magolikipa wa EPL.

“Ukweli ni kwamba nilizaliwa Madrid lakini mwisho wa siku ni jiji tu,” aliiambia UEFA.

“Sasa najihisi kama ninatokea Manchester, najihisi kama kama yoyote anayetokea Manchester sehemu unapopendwaulipokaribishwa kama nyumbani kwako.

“Sijioni nikiondoka Manchester United, nipo hapa kwa miaka najua chochote kinaweza kutokea kwenye maisha lakini sioni nikiondoka.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa