Dest Anaitaka Barca Xavi Hana Mipango Naye

Hatima ya Beki wa Barcelona Sergino Dest ipo matatani baada ya kocha mpya wa Barcelona Xavi Hernandez kuonyesha hana mipango naye kwenye timu yake na anaangazia kumuuza lakini mlinzi huyo anataka kuendelea kubaki Camp Nou.

Klabu za Bayern Munich na Chelsea zilionyesha nia ya kuhitaji na huduma lakini mchezaji anaonekana hayupo tayari kuachana na Barcelona msimu huu.

Barcelona walipiga chini dau la Bayern la euro milioni 25, licha ya hali yao mbaya ya kifedha, lakini kuna uwezekano kwamba Dest mwenyewe angekataa kuhama.

Hajacheza tangu Desemba 4, 2021 kwenye mashindano yote na amecheza mara 16 pekee msimu huu, ambayo ni kidogo sana kuliko alivyotarajia, lakini Dest bado anaamini kuwa anaweza kuongeza kitu na kubadilisha mambo huko Barcelona.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe