Formula 1: Sir Frank Williams Afariki Akiwa na Miaka 79

Sir Frank Williams, mwanzilishi na mkuu wa zamani wa timu ya Williams Racing, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79. Williams aliichukua timu yake ya mbio za magari kutoka sifuri hadi kwenye kilele cha Formula One, akisimamia ushindi mara 114, mashindano 16 ya ulimwengu ya madereva, huku akiwa bosi wa timu aliyekaa muda mrefu zaidi katika historia ya mchezo huo.

Formula 1: Sir Frank Williams Afariki Akiwa na Miaka 79

“Baada ya kulazwa hospitalini siku ya Ijumaa, Sir Frank aliaga dunia asubuhi ya leo akiwa amezungukwa na familia yake,” Timu ya Williams Racing ilisema katika taarifa siku ya Jumapili.

Maisha ya Williams ni ya ajabu zaidi kutokana na ajali mbaya ya gari aliyoipata nchini Ufaransa iliyomsababishia majeraha makubwa hivyo madaktari walifikiria kuzima mashine yake ya kusaidia maisha.

Lakini mke wake Virginia aliamuru kwamba mumewe abakishwe hai na azimio lake kamili na ujasiri – sifa ambazo zilifananisha kazi yake – zilimwezesha kuendelea na mapenzi ya maisha yake.

Alisalia katika nafasi yake ya mkuu wa Williams Racing kwa miaka 34 zaidi kabla ya familia hiyo ya Formula 1 kuiuza kwa mwekezaji wa Marekani mwezi Agosti.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.