Mechi ya Burnley vs Tottenham Yahairishwa

Mechi ya Burnley dhidi ya Tottenham iliyokuwa ichezwe katika dimba la Turf Moor leo imehairishwa kutokana na kuanguka kwa kiasi kikubwa cha barafu uwanjani.

Hakuna taarifa zaidi zilizotolewa kwamba ni lini mchezo huo utachezwa, tangazo la kuharishwa kwa mechi hiyo lilifanyika mara baada ya pande zote mbili kutaja vikosi vyao kuelekea mchezo huo.

Spurs walikuwa wamechelewa kufika uwanja wa Turf Moor, walifika zaidi ya saa moja kabla ya mechi kuanza, na maafisa walikuwa wamesubiri hadi mameneja wote wawili wawepo kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho.

Joto la chini la ardhi la Turf Moor lilikuwa limewashwa kwa usiku mmoja lakini halikuweza kukabiliana na hali hiyo.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.