Chelsea inawaalika Manchester United katika uwanja wa Stamford Bridge katika wiki ya 13 ya Premier League. The Blues wameendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na jumla ya alama 29 katika michezo 12 wakati United wao wamepata alama 17 baada ya michezo 12 wakiwa waketi katika nafasi ya 7.

Taarifa ya Timu
Chelsea itamkosa mchezaji wake Ben Chilwell ambaye kunauwezekano akakaa nje ya dimba kwa miezi kadhaa sababu ya jeraha la goti wakati N’Golo Kante pia anakabiliwa na jeraha la goti pia hatohusika leo.
Marcos Alonso na Ruben Loftus-Cheek wanaweza kuanza kuchukua nafasi za Chilwell na Kante pia Chalobah na Cesar Azpilicueta watacheza katika safu ya ulinzi dhidi ya Red Devils.
Mateo Kovacic na Havertz wapo kwenye shaka la kukosa mechi hii wakati Romelu Lukaku anaweza kuanza.

Manchester United wao watamkosa Harry Maguire anayetumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyopata kwenye mchezo dhidi ya Watford wakatipia Raphael Varane atakosa mechi hiyo sababu ya jeraha hiyo inaleta fursa kwa Eric Bailly kuanza katika safu ya ulinzi.
Pogba anaendelea kuwa nje ya dimba kwa muda mrefu, Fred, Cavani Luke Shaw na Mason Greenwood ambaye ana COVID-19 wapo kwenye shaka la kukosa mechi hii.
Kikosi cha Chelsea Kinachoweza Kuanza: Mendy; Chalobah, Silva, Rudiger; James, Jorginho, Loftus-Cheek, Alonso; Mount, Hudson-Odoi; Werner
Kikosi cha Manchester United Kinachoweza kunza: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Bailly, Telles; Matic, McTominay; Sancho, Fernandes, Rashford; Ronaldo
ODDS BAB KUBWA ZA KUBASHIRI MECHI HII
Timu zote zipate goli kipindi cha kwanza (IGG) Odds 4.90
Timu ya ugenini ishinde (2) Odds 5.29
Timu zote zifunge na timu ya nyumbani ipate magoli 3 au zaidi (GG&H3+) Odds 5.15
Bonyeza Hapa Kubashiri Mechi Hii
Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.


