Inter Kuwaongeza Mkataba Marotta, Baccin na Ausilio

Klabu ya Inter Milan imekubali kuwaongeza mkataba wa miaka mitatu viongozi wao ambao ni Giuseppe Marotta, Piero Ausilio na Danilo Baccin siku ya Ijumaa.

Mtendaji mkuu wa michezo Marotta, afisa mkuu wa michezo Ausilio na naibu afisa wake Baccin walikuwa wanelekea kumaliza mikataba yao ya awali mwishoni mwa msimu huu na sasa wataendelea kuhudumu mpaka mwaka 2025 chini ya rais wa klabu Steven Zhangu.

Inter walifanikiwa kutwaa ubingwa wa Serie A msimu uliyopita baada ya kukaa kwenye ukame wa taji hilo kwa miaka 10 wakiwa chini ya kocha Antonio Conte.

Inter ambao wapo nafasi ya pili watarejea dimbani siku ya Jumapili kuumana na Sassuolo mchezo wa ligi wakijaribu kuwapa shinikizo vinara wa Seri A AC Milan.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

 

Acha ujumbe