Wolves hawajapewa nafasi ya kuongelewa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya Kijamii lakini wamekuwa kwenye ubora thabiti msimu huu.

Wolverhampton wameshinda michezo minne kati ya mitano katika Premier League hakuna anayeongelea kiwango cha timu hiyo inayo nolewa na kocha bora wa mwezi Januari Bruno Lage.

Wolves waliichalaza bao 2-0 timu ya London Kaskazini Tottenham wikendi ilyiopita, na wamefunga jumla ya mabao 38 kwenye michezo 23 ya ligi wamepata clean sheet 11 wakati wakikaa kwenye nafasi ya 7 wakiwa na jumla ya alama 37 baada ya michezo 23.

Mbwa mwitu, bila shaka, mara nyingi huwa wa mwisho kwenye Mechi Bora ya Siku na mara nyingi kurukwa YouTube inapopendekeza mambo muhimu yao.

Pamoja na kufanya vyema msimu huu lakini hakuna anayeweza kuwaongelea Wolves, nakuibia siri hapa usimwache Wolves kwenye mikeka yako, mpe ushindi, double chance ashinde au atoe sare au mpe magoli na GG.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa