Lampard na Favre Wahusishwa na Newcastle United

Kocha mkuu wa zamani wa Borussia Dortmund Lucien Favre na bosi wa zamani wa Chelsea Frank Lampard ni miongoni mwa majina yanayotazamwa na Newcastle United kuchukua jukumu la kuinoa klabu hiyo baada ya kuripotiwa kwamba Steve Bruce yupo mbioni kufugashwa vilago,Telegraph ya ripoti.

Lampard na Favre Wahusishwa na Newcastle United
Kocha wa zamani wa Borussia Dortmund, Lucien Favre

Steve Bruce anatarajiwa kuacha kazi ndani ya masaa 48 yajayo, Newcastle inataka kuleta meneja mpya kabla ya mechi yao dhidi ya Tottenham siku ya Jumapili.

Wote wawili Favre na Lampard hawana dili yoyote mpaka sasa, na kocha wa zamani Chelsea alikuwa karibu kujiunga na Crystal Palace msimu wa joto, na labda watakuwa tayari kuchukua nafasi ya Bruce bila kuhitaji mazungumzo yoyote na vilabu vingine.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.