Klabu ya Leeds United imeamua kumwachisha kazi meneja Marcelo Biesla baada ya kipigo cha 4-0 dhidi ya Tottenham siku ya Jumamosi na Jesse Marsch anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya kocha mkuu huko Elland Road.

Kocha huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 66 aliisadia Leeds kurejea Premier League baada ya miaka 16 mwaka 2020 lakini sasa wanaonekana kushuka kiwango.

Leeds imeruhusu mabao 20 kwenye mechi 5 zilizopita na wapo juu ya mstari wa kushuka daraja kwa tofauti ya alama mbili pekee.

“Huu umekuwa uamuzi mgumu zaidi ambao nimelazimika kufanya wakati wa utumishi wangu Leeds United, kwa kuzingatia mafanikio yote ambayo Marcelo amepata katika klabu,” alisema Radrizzani.

“Tukiwa na Marcelo kama kocha wetu mkuu, tulikuwa na kampeni tatu za ajabu na nyakati nzuri zilirejea Elland Road. Alibadilisha utamaduni wa klabu na kuleta mawazo ya ushindi kwetu sote.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa